Daah nimechookaa,kuna baadhi ya writers sio wa kufanya nao kazi. Hii ilikua inaisha episode ya 20 au hata 25,30 bila kuleta ya part two. Hawa watu wangejifunza kwa wenzao wa penthouse na marriage,love and divorce zilikosa msisimko kwa kurefushwa bila sababu. Anayefatia kwa kuchokwa ni yumi's cell. Hadi wa leo vagabond na arthidal sijui wanashutia wapi part two zao.Nipo na drama mbili ambazo sina mzuka nazo kabisaa ila najikongoja nimalize. Chief Kim na Bloody heart
Acha tu... story moja tamu sana
Hapa ni kusubiri December tu for part 2,
Part 1 imeisha utamu sana
Part 2 itakua na episodes 10 tuPole malizia tu uongeze idadi ya ulizoangalia.
Daah nimechookaa,kuna baadhi ya writers sio wa kufanya nao kazi. Hii ilikua inaisha episode ya 20 au hata 25,30 bila kuleta ya part two. Hawa watu wangejifunza kwa wenzao wa penthouse na marriage,love and divorce zilikosa msisimko kwa kurefushwa bila sababu. Anayefatia kwa kuchokwa ni yumi's cell. Hadi wa leo vagabond na arthidal sijui wanashutia wapi part two zao.
Pole malizia tu uongeze idadi ya ulizoangalia.
Daah nimechookaa,kuna baadhi ya writers sio wa kufanya nao kazi. Hii ilikua inaisha episode ya 20 au hata 25,30 bila kuleta ya part two. Hawa watu wangejifunza kwa wenzao wa penthouse na marriage,love and divorce zilikosa msisimko kwa kurefushwa bila sababu. Anayefatia kwa kuchokwa ni yumi's cell. Hadi wa leo vagabond na arthidal sijui wanashutia wapi part two zao.
Hauamini katika ufufuo? [emoji16][emoji16][emoji16]Bora Arthdal naisubiri kwa moyo
Ila penthouse ilinifika hapa
Hata season 2 sikuimaliza[emoji3][emoji3][emoji3] mambo ya kufufua watu hahah
siyo MR SUNSHINE mkuu!!!!Hapa nilipo najiuliiza kama ni MR SUNSHINE au ni drama nyingine. Ngoja wataalamu waje watakujuza zaidi
Hapana sio yenyewe mkuu, toka nimeiona ni zaidi ya miaka sita imepita na Mr sunshine ni ya 2018 kama sikosei, na yenyewe haina mambo ya mjini kabisa ila ina bonge moja la story kiasi kwamba namsubiri mwamba atakayekuja kunipa jina lake hapa niitafute!!!Mimi pia niliiwaza Mr. Sunshine alivyosema wajapan ila kwahyo simulizi sidhani kama ni hiyo,na nitakuwa sijaiona tu
Hiyo attorney woo na Alchemy of souls sijabahatika kuona ila hiyo mouth ni ya moto Sana ina story nzuri sanaKuna Alchemy of souls halafu kuna ile attorney woo na big mouth... unaweza kujikuta unaacha drama yako unayoangalia ukazirukia manake sio kwa sifa hizi
Huenda wakorea hawana dramas mfano tajwa. Kwa dramas zinazozungumzia ishu ya japanese dhidi ya korea kwa ninazozifahamu ni:Wakuu kwema???
mwenye kuikumbuka hii series tafadhali naomba msaada wa jina lake, kuna series moja zile battle za wakorea dhidi ya uvamizi wa wajapan, wale wakorea (kama sio wachina maana sikumbuki vizuri) walikuwa kati ya sita au nane hivi na kila mmoja ana uwezo wake wa pekee tofauti na wengine, kuna mwamba mmoja alikuwa na nguvu sana kiasi anaweza kukupiga ngumi tumboni ukatoboka, katika wale wavamizi (wajapan kulikuwa na dem mmoja ana machale sana na anapiga mkono balaa, mwishoni nakumbuka kama walijilipua na mabomu kwenye ile kambi ya wajapani.
Natanguliza shukrani!!
niliiacha nilipomaliza season 1 pekee kumbe mbeleni walianza kufufua watu😂😂😂😂😂Ambao ep 19 imetosha kukata mzuka wa Alchemy tupo?
Yan episode imeenda chap chap kumaliza mambo tuliyovumilia kwa ep18 , kirahis tu[emoji22].
Wacha nimalizie lakin
Bora Arthdal naisubiri kwa moyo
Ila penthouse ilinifika hapa
Hata season 2 sikuimaliza[emoji3][emoji3][emoji3] mambo ya kufufua watu hahah
Rasmi sasa hii drama sitaiangaliaMie episode 20 imekata stimu zoote. Ilianza vizuri mno na na uhakika writer na director walikua na mpango wa kuimaliza mapema ila sasa mzuka wa ratings umewanogea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
niliiacha nilipomaliza season 1 pekee kumbe mbeleni walianza kufufua watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rasmi sasa hii drama sitaiangalia
Nisije kupoteza muda wangu kama bloody heartAngalia ni nzuri hautajutia muda wako. Episode 20 sio mbaya wala haina simanzi sana
Nisije kupoteza muda wangu kama bloody heart
Okey. Hii good manager nadhani sitaimaliza eti comedy... comedy gani niko episode ya 10 hata sijachekaBloody heart nimeshaiona ila haina ukaribu na alchemy jaribu episode 4 ujionee
Hauamini katika ufufuo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mie episode 20 imekata stimu zoote. Ilianza vizuri mno na na uhakika writer na director walikua na mpango wa kuimaliza mapema ila sasa mzuka wa ratings umewanogea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
niliiacha nilipomaliza season 1 pekee kumbe mbeleni walianza kufufua watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rasmi sasa hii drama sitaiangalia