Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ongoing ikitokea kupendwa sana inaanza kusuasua kutolewa sijui shida huwa cast, director au writer anaanza mizinguo

Kweli
Kama ilivyokua Mouse,Mr Queen,Vicenzo
Lakin Hong sisters kwakweli kazi zao zimesimama.
Nikubuhu kutizama drama kupitia writers sasa[emoji3]
 
Wakuu Penthouse kumbe ni Kali Hivi startime wameweka kwa lugha yetu tamu kabisa
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.

Mfano hapa;

Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
 
Haka kajamaa huwa kananifurahisha sana muonekano wake, ni kama vile sio mbegu ya korea kabisa.

Hii ni movie ya tatu nakaona[emoji1].
Screenshot_20220823-145207.jpg
 
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.

Mfano hapa;

Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
[emoji16][emoji16][emoji16] tena hii penthouse na majina wameweka ya kiswahili ... Eti mkorea anaitwa Aisha mweh
 
Back
Top Bottom