Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
kimoitv
Umeipakua wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeipakua wapi?
Sijui nani alimshauri kuchukua role hii kwenye bloody heart....hajapendeza wala [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I know the pervert in you is not happy at all. Mimi navuta muda na bloody heart ninaposubiria nkiri....niliona kule kwenye channel yetu imepostiwa kwa mb chache nikasema ngoja nizame. Haina mvuto sana kwangu mimi labda kwa sababu ni mwanzoni, ndio niko episode ya tatu
Mimi actress nampenda wee.... Seo in jae from startup [emoji7] hata actor naona hayuko vibayaMe too hata main actor na actress sijawapenda nashangaa nikajikuta team concubine.
Lee Joon sijawahi kumkubali kama main character tangu Heard it through grapevine niliona havutii kabisa.Me too hata main actor na actress sijawapenda nashangaa nikajikuta team concubine.
Yaani inaumiza moyo namna female lead anavyopitia magumu natamani hata niingie nimbembeleze maana hadi episode ya 20 niliyofika nashukuru mie ni wa kiume,enzi zangu ningelia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hako ka feeling ka kupigwa huna kanaua mood kabisa, ndomaana mimi huwa sipendi maonyesho yaliyozidishiwa uongo (vitu ambavyo kikawaida haviwezekani), mfamo drama kama LEGEND OF THE SEEKER.Unaionaje lakini
Zamani kabla ya kujua wasanii yani wakiigiza twins huwa napata vibe kabisa ni watu wawili tofauti, Ukubwa huu naona napigwa
Yaani inaumiza moyo namna female lead anavyopitia magumu natamani hata niingie nimbembeleze maana hadi episode ya 20 niliyofika nashukuru mie ni wa kiume,enzi zangu ningelia[emoji23][emoji23]
Lee Joon sijawahi kumkubali kama main character tangu Heard it through grapevine niliona havutii kabisa.
Nafuu hata Kang Hanna hata second lead anavutia sana
Hako ka feeling ka kupigwa huna kanaua mood kabisa, ndomaana mimi huwa sipendi maonyesho yaliyozidishiwa uongo (vitu ambavyo kikawaida haviwezekani), mfamo drama kama LEGEND OF THE SEEKER.
Mimi actress nampenda wee.... Seo in jae from startup [emoji7] hata actor naona hayuko vibaya
Me too hata main actor na actress sijawapenda nashangaa nikajikuta team concubine.
Na hiyo big mouth ni hatari na kuliko adamas kwa upande wangu story yake ipo kiufundi zaidi inamtegenezea mtazamaji awe ni mtu wakuhisihisi kama upo sehemu ya movieNaungana na wewe hapo kwenye ADAMAS, maana imeimbwa sana humu.
Oya kamanda nitajie drama Kali za mjini naona kwenye stock yangu zimeisha nahitaji nyingine huku pia kwenye ongoing nimeshazimaliza adamas na big mouthYaani inaumiza moyo namna female lead anavyopitia magumu natamani hata niingie nimbembeleze maana hadi episode ya 20 niliyofika nashukuru mie ni wa kiume,enzi zangu ningelia[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo anatakiwa atushirikishe kwanza tulioteseka naeMie wanachoniuzi ni pale actress anateseka weee halafu episode za 40 huko anapata ka unafuu eti anasamehe yootee aliyotendewa. Yaani mie nimeteseka nae tangu mwanzo halafu yeye anasamehe kirahisi rahisi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes naambiwa yupo na undercover ila nimejaribu kumtafuta humo simuoni kabisa... nadhani nahitaji kuitazama tenaNdo maana nilihisi nishawah muona
Na yuko bold itakua ndo faeture yake...
Bae jang hyuk hana baya ye hujibebea role yoyote[emoji2] hata kuwa loanshark ilimradi yupo kwa screen
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo anatakiwa atushirikishe kwanza tulioteseka nae
Kwani kimoitv na Nkiri zinatofauti gani mbona kama mimi naona ziko sawa tu.
Six Flying Dragons hivi yupo mle??Jang Hyuk hajawahi kushirki kwenye kazi mbovu na ni miongoni mwa wakorea wanaovuta mpunga mrefu kwenye tasnia.
HIDEN ROOTS
SIX FLYING DRAGONS( nahisi ndiyo hiyo ya juu)
SHINE OR GO CRAZY
IRIS 2
THE VOICE
BLOODY HEART.
Kwenye hizo series zote( nilizobahatika kuziona) hajawahi kukosea.
Nimeangalia nyingi hadi nazisahau ila kuna hizi kama hujacheki ziwahiOya kamanda nitajie drama Kali za mjini naona kwenye stock yangu zimeisha nahitaji nyingine huku pia kwenye ongoing nimeshazimaliza adamas na big mouth
Kachanganya huyo itakuwa kamix na My Coutry aliyoact kama Lee Bang WonSix Flying Dragons hivi yupo mle??