talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Okey. Hii good manager nadhani sitaimaliza eti comedy... comedy gani niko episode ya 10 hata sijacheka
[emoji3][emoji1787][emoji23][emoji23] hii coment nimecheka
Kama nawazaga wanaoangalia mkojani wanacheka nin wakat mi napata hasira.