Okey. Hii good manager nadhani sitaimaliza eti comedy... comedy gani niko episode ya 10 hata sijacheka
Eti eeh? Unajua mimi sipendi haya mambo ya masizoni... katika drama zenye season 2 na kuendelea nimeangalia Yumi's cells na welcome to waikiki tu.. Yumi mambo ya season yamenikuta nimeshaianza na hiyo nyingine sikuweza kuvumilia kumkosa Mr Kim stiffNi nzuri sana
Tena uliipenda vicenzo na Mr queen,hii pia utaipenda
Shida hiyo ep ya 19 wamefanya kufunika kombe
Kwenye ADAMAS kwenye uhusika wa yule journalist (mmoja wa mapacha) director ndo kaharibu, jamaa kila kitu anajua bila kuonyesha misingi yoyote ya jinsi alivyoweza kujua, mwamba anajiamini anaingia kila sehemu na maelezo anayotoa hayatoshi kabisa kumfanya asishitukiwe ila hakuna kinachomkuta, mitembeo yake na reactions havieleweki, kiufupi amepewa nguvu kubwa sana (anaonekana threat kwenye hamna). Kila ikifika scene yake natamani kuipeleka mbele.Imagine nilianza kuitazama yenyew, ikabid niitafutie side dishes mpaka zikawa main lol
Alchemy niko sambamba bigmouth hivyohivyo, ila yenyewe niko ep ya saba nasikia hadi uvivu ipo slow.
Ila waigizaji wake ni konki ndo inanipa moyo itachangamka
Hii drama director aliumiza sana akili, camera angle ni 100%,wameweza sana.Hakuna kama alchemy..... na ukitumia netflix kwenye smart TV unaenjoy mpaka basi. Waiting for episode 20 usiku
Edit:mzigo kwa hewa
Alchemy of souls & Big Mouth kazi imefanyika, hiyo Attorney Woo bado sijaifatilia ngoja niitafute.Kuna Alchemy of souls halafu kuna ile attorney woo na big mouth... unaweza kujikuta unaacha drama yako unayoangalia ukazirukia manake sio kwa sifa hizi
Eti eeh? Unajua mimi sipendi haya mambo ya masizoni... katika drama zenye season 2 na kuendelea nimeangalia Yumi's cells na welcome to waikiki tu.. Yumi mambo ya season yamenikuta nimeshaianza na hiyo nyingine sikuweza kuvumilia kumkosa Mr Kim stiff
Shida ya wakorea ni moja tu, drama ikipendwa na kufuatiliwa sana ni lazima waanze kuitafutia SEASONS. Mimi sioni maana ya kuwasubirisha watu mpaka December.Acha tu... story moja tamu sana
Hapa ni kusubiri December tu for part 2,
Part 1 imeisha utamu sana
Shida ya wakorea ni moja tu, drama ikipendwa na kufuatiliwa sana ni lazima waanze kuitafutia SEASONS. Mimi sioni maana ya kuwasubirisha watu mpaka December.
Carter ina uongo wa waziwazi kama vile unaangalia movie za kihindi bwana, mimi huwa nachukia sana kulazimishwa kitu ambacho nakua kabisa ni uongo (najua hakiko hivyo).Now watchlist
Ongoing drama
Adamas
Big Mouth/Mouse
Poong the joseon phsy...
If you wish upon me
Hii carter ni wakorea maana imefika dk ya 20 sijui ikabid niiweke pemben doh
Nijitafutie complete
Yani nina muda sijaangalia wakorea... ndo nimeanza upya, nataka nimalize nzuri zote zilizopo netflix kwanza napenda kuangalia kwa screen kubwa then ndo nianze kutafuta za sites zingineShida ya wakorea ni moja tu, drama ikipendwa na kufuatiliwa sana ni lazima waanze kuitafutia SEASONS. Mimi sioni maana ya kuwasubirisha watu mpaka December.
Yani nina muda sijaangalia wakorea... ndo nimeanza upya, nataka nimalize nzuri zote zilizopo netflix kwanza napenda kuangalia kwa screen kubwa then ndo nianze kutafuta za sites zingjneShida ya wakorea ni moja tu, drama ikipendwa na kufuatiliwa sana ni lazima waanze kuitafutia SEASONS. Mimi sioni maana ya kuwasubirisha watu mpaka December.
Wanavyoitamka hiyo Mudeok sasa [emoji23].Hapo sasa alafu ep 10
Wacha wamringie huyo Naksu wao
Sema Naksu kama ana mkono zaid ya Buyeon/Mudeok
Ni nadra sana kuikuta Netflix drama ya kikorea halafu iwe mbovu, hmmm binafsi sijawahi kuona.1
5
Yani nina muda sijaangalia wakorea... ndo nimeanza upya, nataka nimalize nzuri zote zilizopo netflix kwanza napenda kuangalia kwa screen kubwa then ndo nianze kutafuta za sites zingine
Ni nadra sana kuikuta Netflix drama ya kikorea halafu iwe mbovu, hmmm binafsi sijawahi kuona.
Enjoy mkuu.
Ni nadra sana kuikuta Netflix drama ya kikorea halafu iwe mbovu, hmmm binafsi sijawahi kuona.
Enjoy mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio tunaita hivyo huku kwetu rangi tatuMasizoni[emoji1787]
Itizame tu uenjoy mie nimemaliza na siziwazi hizo ep 10 zao za december, walipoishia wamenitoa ile cliffhanger.
Uwiii zipo mbovu nyingi tuNi nadra sana kuikuta Netflix drama ya kikorea halafu iwe mbovu, hmmm binafsi sijawahi kuona.
Enjoy mkuu.
Mwamba upo kama mimi sijui hawa wanaoipa hiyo movie hizo sifa kwasababu ipi movie imekaa computer iliyopitiliza, story ya kawaida binafsi nilishindwa kabisa kuimaliza nikaamua niifute.Kutokana na kuwa tuna ladha zinazofanana nakushauri usitafute hiyo attorney woo itakuchosha haipo serious ni comedy zile zakujitoa akiliCarter ina uongo wa waziwazi kama vile unaangalia movie za kihindi bwana, mimi huwa nachukia sana kulazimishwa kitu ambacho nakua kabisa ni uongo (najua hakiko hivyo).
Mkuu nitajie drama mbovu ya kikorea iliyowahi kurushwa Netflix, huenda tunatofautiana taste.Zipo au hatukuzielewa sana
Sema Netflix ina hyper kubwa sababu ya coverage yake
Mimi nawaaminiaga sana TvN
Na zile za kimaisha JTBC