Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Inaachaje kuwa tamu na Kang ki young? Mimi nilipomuona tu nilisema lazima niangalie, hivi mnazidi kunishawishi nitajikuta natelekeza Alchemy of souls na hivi hata bado haijanichanganyia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]attorney woo ina comedy tamu sana.
Inaachaje kuwa tamu na Kang ki young? Mimi nilipomuona tu nilisema lazima niangalie, hivi mnazidi kunishawishi nitajikuta natelekeza Alchemy of souls na hivi hata bado haijanichanganyia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante mkuu nimeliona jamaa Yuko sharpKaweka jingine. Pia mkuu jiongeze kutafuta mafiles ya akiba
Kama una magroup ya VPN naomba nipe majina niyasachi ya telegramKaweka jingine. Pia mkuu jiongeze kutafuta mafiles ya akiba
Kama una magroup ya VPN naomba nipe majina niyasachi ya telegram
Hahahahah ngoja nikupe zoteSijaona likes yako hata moja.
Hahahahah ngoja nikupe zote
SBS "One Dollar Lawyer drama" Teaser
talnam
Namgoong min anagonga papo kwa papo.
Akitoka hapo ana project nyengine ya historical anaifanyia review na pia kuna doctor prisoner season 2
Bila ya shaka huyu bwana atakuwa na mihela mingi mno, anawezaje kulipia hela ya pango, chakula, mavazi na mengineyo kwa malipo ya dola 1 tu anayopokea kutoka kwa wateja wake.
Jaalia kibatala ndio unamlipa buku 1 kwa msaada wa kisheria atakaokupa.
Sijui mmenielewa
Itakuwa ni September 23
Inshaallah (akipenda Mungu na majaaliwa yake)
[emoji16][emoji16][emoji16] atazame tu hadharani hayupo wa kumfunga hapa, ila kucheka tutacheka kusema kweli
attorney woo ina comedy tamu sana.
Sijaona likes yako hata moja.
Uzito wake umepungua sana, kwenye the veil drama umbile lake lilikuwa linatisha utadhani ni special agent wa ukweli.Yaan kazi za huyu sio za kuruka
Naisubiri, ile ndo wanaitwa daraja la tatu lawyer kama yule mzee wa one ordinary day na big mouth. Nione atavyo iturn vile hawafanikiwagi in the end
Kwanza muonekano wa humu naanza kumcrush[emoji3526]
Uzito wake umepungua sana, kwenye the veil drama umbile lake lilikuwa linatisha utadhani ni special agent wa ukweli.
Watu wapo serious na kazi zao.
Chief kim drama kila ninapopita inasifiwa, ila nikisoma comment za Khantwe anaiponda.
Huenda ahjumma macho yake yana makengeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha tu niwe na makengeza, nimeishindwa kabisa ile drama licha ya kuwa inasifiwa kila konaUzito wake umepungua sana, kwenye the veil drama umbile lake lilikuwa linatisha utadhani ni special agent wa ukweli.
Watu wapo serious na kazi zao.
Chief kim drama kila ninapopita inasifiwa, ila nikisoma comment za Khantwe anaiponda.
Huenda ahjumma macho yake yana makengeza
The Veil alifanya kazi poa sana, siku nazo zinaenda kweli (nimekumbuka ni mwaka sasa tangu niifuatilie) wakati naona ni kama juzi tu.Am looking forward to it ingawa drama yake nimetoka kuifuta jana baada ya kufika episode ya saba nikashindwa kuendelea. Nina mpango wa kuicheki The veil na hii
Goodbye Mr.black nimeiangalia 2016 enzi hizo ndo ninaanza kuwa mnazi wa Kdramas, ni drama yenye story nzuri sana.Ambaye hana drama ya kuangalia aangalie *Goodbye Mr Black*Nzuri sana
...
Suggestion ya Historical drama mana baada ya kumaliza alchemy of soul[emoji91][emoji91]ilikuwa ni hatari sana nahitaji kitu kikali zaidi ya kuzidi AOS
....
Wakati tunangojea Big Mouth...
Historical drama[emoji116][emoji116]