Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

attorney woo ina comedy tamu sana.
Inaachaje kuwa tamu na Kang ki young? Mimi nilipomuona tu nilisema lazima niangalie, hivi mnazidi kunishawishi nitajikuta natelekeza Alchemy of souls na hivi hata bado haijanichanganyia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂nimeenda kugoogle nicheki sura,huyo jamaa haishiwagi vituko kuna safari jeju aliipania sana. Yupo vizuri. Malizia alchemy uje kwa attorney
Inaachaje kuwa tamu na Kang ki young? Mimi nilipomuona tu nilisema lazima niangalie, hivi mnazidi kunishawishi nitajikuta natelekeza Alchemy of souls na hivi hata bado haijanichanganyia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
SBS "One Dollar Lawyer drama" Teaser​

talnam
Namgoong min anagonga papo kwa papo.
Akitoka hapo ana project nyengine ya historical anaifanyia review na pia kuna doctor prisoner season 2

Bila ya shaka huyu bwana atakuwa na mihela mingi mno, anawezaje kulipia hela ya pango, chakula, mavazi na mengineyo kwa malipo ya dola 1 tu anayopokea kutoka kwa wateja wake.

Jaalia kibatala ndio unamlipa buku 1 kwa msaada wa kisheria atakaokupa.
Sijui mmenielewa

Itakuwa ni September 23
Inshaallah (akipenda Mungu na majaaliwa yake)

Yaan kazi za huyu sio za kuruka
Naisubiri, ile ndo wanaitwa daraja la tatu lawyer kama yule mzee wa one ordinary day na big mouth. Nione atavyo iturn vile hawafanikiwagi in the end

Kwanza muonekano wa humu naanza kumcrush[emoji3526]
 
Uzito wake umepungua sana, kwenye the veil drama umbile lake lilikuwa linatisha utadhani ni special agent wa ukweli.

Watu wapo serious na kazi zao.

Chief kim drama kila ninapopita inasifiwa, ila nikisoma comment za Khantwe anaiponda.

Huenda ahjumma macho yake yana makengeza
 
Chief kim hata mimi ilinishinda
Uzuri nlishatizama stove league na awaken nikajua labda ila ni ya kizaman

Lile body kwenye the veil hatari ingawa jins alivyo mlegevu kwenye drama zingine niliona kama mwili unamuelemea
 
Uzito wake umepungua sana, kwenye the veil drama umbile lake lilikuwa linatisha utadhani ni special agent wa ukweli.

Watu wapo serious na kazi zao.

Chief kim drama kila ninapopita inasifiwa, ila nikisoma comment za Khantwe anaiponda.

Huenda ahjumma macho yake yana makengeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha tu niwe na makengeza, nimeishindwa kabisa ile drama licha ya kuwa inasifiwa kila kona
 
Ambaye hana drama ya kuangalia aangalie *Goodbye Mr Black*Nzuri sana
...
Suggestion ya Historical drama mana baada ya kumaliza alchemy of soul[emoji91][emoji91]ilikuwa ni hatari sana nahitaji kitu kikali zaidi ya kuzidi AOS
....
Wakati tunangojea Big Mouth...
Historical drama[emoji116][emoji116]
 
Goodbye Mr.black nimeiangalia 2016 enzi hizo ndo ninaanza kuwa mnazi wa Kdramas, ni drama yenye story nzuri sana.
 
Back
Top Bottom