Nimeiona kwenye group moja la kdrama ila ina mb kibaoIvi Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata series ya THE DUO, nimeitafuta bila mafanikio sites kama nkiriri na n.k
Ya motoo...niliangalia siku zile kabla sijazijua drama zenye episode 16 (joke)Vipi kuhusu QUEEN SEONDOEK?
Kama Dong Yi (episode 60).Ya motoo...niliangalia siku zile kabla sijazijua drama zenye episode 16 (joke)
Duh kweli tuko tofauti,mi nikiona genre ya drama ni suspense,thriller au crime and investigation yani hata siigusi!Mimi movies zenye meneno mengi bila story yenye kueleweka huwa sina muda kabisa, ndiomaana sijawahi kukaa kufuatilia family drama zaidi ya GOLDEN RAINBOW.
Genre nazopenda ni :-
-Suspense
-Thriller
-Crime & Investigation
-Melodrama
Hivyo vitatu vyaa juu vikiungana, drama lazima ikae sawa.
Wewe na mimi tuna taste zinazofanana ila kwangu iongezeke legalDuh kweli tuko tofauti,mi nikiona genre ya drama ni suspense,thriller au crime and investigation yani hata siigusi!
Nikikuta comedy,romance,fantasy,family au hata historical na action kidogo hapo sasa ndo ntahangaika kuisaka!
Kweli aise mana unaangalia tamthilia bando lako ela yako alafu inakuweka rohojuujuu adi raha inaishaWewe na mimi tuna taste zinazofanana ila kwangu iongezeke legal
Wewe na mimi tuna taste zinazofanana ila kwangu iongezeke legal
one well raised daughter ep 122 daah hii drama nilivuta hadi episode 60 kama kuondoa uraibu wa kukosa vya kudownload kuja kuangalia story ina uongo mwingi hatari ila bado umbea wa kibongo bongo kutaka kujua zaidi ukanivuta mpaka episode ya mwisho
ongoing zinazonitesa
cheer up my life(bravo my life) episode 100 na kitu(wapo ep 101)
Golden mask episode 100 na kitu(wapo ep 77)
Its beautiful now ep 50 saiv wapo ep 46
Baada ya kumaliza family dramas za episode 50 naelekea za episode 100. Family dramas tamu asikusimulie mutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na mimi tuna taste zinazofanana ila kwangu iongezeke legal
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12legal kuna saa zinachanganya unajikuta nawe ka mwanasheria. Kuna kipindi nilifululiza kuziangalia kichwa kilichemka kwa vifungu mbali mbali nikaziweka kando. Hadi muda huu najiuliza mara mbili mbili kuanza kuiangalia why her baada ya attorney woo
legal kuna saa zinachanganya unajikuta nawe ka mwanasheria. Kuna kipindi nilifululiza kuziangalia kichwa kilichemka kwa vifungu mbali mbali nikaziweka kando. Hadi muda huu najiuliza mara mbili mbili kuanza kuiangalia why her baada ya attorney woo
Mimi ni The great Queen episode 60 zaidi ya hapo sijawahiKiboko kabisa
Drama ndefu kuitazama kwa akili zangu ni jang geum ep 52 eh
Saivi siwezi
Jumong nlitazama enzi za ITV
Attorney woo wamejipanga hasa wamekalika kila idara hawakuisahau romance japo ipo kidogo ila comedy wametuweza😂😂😂archemy tamu ukiiacha utakosa uhondoKama Extraordinary yani kuna vitu hata kibongo bongo vinaweza kutusaidia
Unaweza hata kuchimbua kama kuna sheria za kusimamia vitu vidogo tunavyopigwa
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12
Drama sio mbaya ila nahisi sijaipenda sana kwa vile ilisifiwa hivyo nilikuwa n a matarajio makubwa. Napend interaction ya Mudeok na Crown prince [emoji16][emoji16] utasiki 'Mangakaumida'Na hivyo tuliisifia sana [emoji1787][emoji850] tusute tu na Alchemy
Attorney Woo niko 15
Imebidi nivute drama ya Park eun bin ya 2021 Kings Affection. Hizo comment 1000 nadhan yaliyomo yamo humo
Imefanya nimeeka kando big mouth, Adamas na poong, sijui vipi ila naona ongoing kufatilia saiv zinapoa.
Hiyo kuumiza akili na kuchanganyikiwa ndio kitu napenda sasa.Mimi zote ila hizo thriller nahisig kuchanganyikiwa na za finance
Yan bora legal na medical unatizama huku unaenjoy na ma terminology