Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ivi Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata series ya THE DUO, nimeitafuta bila mafanikio sites kama nkiriri na n.k
 
Attachments

  • Screenshot_20220721-110007.png
    Screenshot_20220721-110007.png
    278.8 KB · Views: 21
Mimi movies zenye meneno mengi bila story yenye kueleweka huwa sina muda kabisa, ndiomaana sijawahi kukaa kufuatilia family drama zaidi ya GOLDEN RAINBOW.

Genre nazopenda ni :-

-Suspense
-Thriller
-Crime & Investigation
-Melodrama

Hivyo vitatu vyaa juu vikiungana, drama lazima ikae sawa.
Duh kweli tuko tofauti,mi nikiona genre ya drama ni suspense,thriller au crime and investigation yani hata siigusi!
Nikikuta comedy,romance,fantasy,family au hata historical na action kidogo hapo sasa ndo ntahangaika kuisaka!
 
one well raised daughter ep 122 daah hii drama nilivuta hadi episode 60 kama kuondoa uraibu wa kukosa vya kudownload kuja kuangalia story ina uongo mwingi hatari ila bado umbea wa kibongo bongo kutaka kujua zaidi ukanivuta mpaka episode ya mwisho

ongoing zinazonitesa

cheer up my life(bravo my life) episode 100 na kitu(wapo ep 101)

Golden mask episode 100 na kitu(wapo ep 77)

Its beautiful now ep 50 saiv wapo ep 46

Baada ya kumaliza family dramas za episode 50 naelekea za episode 100. Family dramas tamu asikusimulie mutu😂😂😂😂😂
 
legal kuna saa zinachanganya unajikuta nawe ka mwanasheria. Kuna kipindi nilifululiza kuziangalia kichwa kilichemka kwa vifungu mbali mbali nikaziweka kando. Hadi muda huu najiuliza mara mbili mbili kuanza kuiangalia why her baada ya attorney woo
Wewe na mimi tuna taste zinazofanana ila kwangu iongezeke legal
 
one well raised daughter ep 122 daah hii drama nilivuta hadi episode 60 kama kuondoa uraibu wa kukosa vya kudownload kuja kuangalia story ina uongo mwingi hatari ila bado umbea wa kibongo bongo kutaka kujua zaidi ukanivuta mpaka episode ya mwisho

ongoing zinazonitesa

cheer up my life(bravo my life) episode 100 na kitu(wapo ep 101)

Golden mask episode 100 na kitu(wapo ep 77)

Its beautiful now ep 50 saiv wapo ep 46

Baada ya kumaliza family dramas za episode 50 naelekea za episode 100. Family dramas tamu asikusimulie mutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kiboko kabisa
Drama ndefu kuitazama kwa akili zangu ni jang geum ep 52 eh
Saivi siwezi
Jumong nlitazama enzi za ITV
 
legal kuna saa zinachanganya unajikuta nawe ka mwanasheria. Kuna kipindi nilifululiza kuziangalia kichwa kilichemka kwa vifungu mbali mbali nikaziweka kando. Hadi muda huu najiuliza mara mbili mbili kuanza kuiangalia why her baada ya attorney woo
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12
 
Kama Extraordinary yani kuna vitu hata kibongo bongo vinaweza kutusaidia

Unaweza hata kuchimbua kama kuna sheria za kusimamia vitu vidogo tunavyopigwa
 
Kabisa inasaidia mno japo polisi wetu hawa hawana uoga na hizo sheria
Kama Extraordinary yani kuna vitu hata kibongo bongo vinaweza kutusaidia

Unaweza hata kuchimbua kama kuna sheria za kusimamia vitu vidogo tunavyopigwa
Attorney woo wamejipanga hasa wamekalika kila idara hawakuisahau romance japo ipo kidogo ila comedy wametuweza😂😂😂archemy tamu ukiiacha utakosa uhondo
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nazipenda najikuta na mimi mwanasheria...kutoka moyoni taaluma niloyokuwa naipenda tangu zamani ni sheria, hata huku mtaani huwa nawa-admire sana wanasheria. Attorney woo nimeangalia hadi ep ya pili sina mbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Alchemy of souls kiukweli najilazimisha niimalizie na msipoangalia nitaitelekeza[emoji2960][emoji2960] nipo episode ya 12

Na hivyo tuliisifia sana [emoji1787][emoji850] tusute tu na Alchemy

Attorney Woo niko 15
Imebidi nivute drama ya Park eun bin ya 2021 Kings Affection. Hizo comment 1000 nadhan yaliyomo yamo humo

Imefanya nimeeka kando big mouth, Adamas na poong, sijui vipi ila naona ongoing kufatilia saiv zinapoa.
 
Drama sio mbaya ila nahisi sijaipenda sana kwa vile ilisifiwa hivyo nilikuwa n a matarajio makubwa. Napend interaction ya Mudeok na Crown prince [emoji16][emoji16] utasiki 'Mangakaumida'
 
Back
Top Bottom