Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Dubbing ya kiswahili nacheki japo inapunguza utamu hii ndo kd ya Kwanza kuikuta ina dubbing ya kiswahili
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.

Mfano hapa;

Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
 
Hio Gold mask nipo hapo tangu ep 1 Leo tuko 79
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…