Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
Hahahaha hii ilinikuta enzi zile nadownload ALL OF US ARE DEAD, nilipanga kuangalia episode 1 kisha nilale ila nililala saa 10 kasoro baada ya kuangalia episode nne.
 
Hapa hadi mie najilaumu maana nilikua natoa maelekezo ndani ya uzi huu nikisahau kuna kina kanugila na ttcl yao. Ningekua natoa connection PM tu,ila roho ilikua inanisuta kusema njoo pm wakati nami nilipewa ka ujanja hapa hapa hadharani
Watz wengi bado ni uncivilized kwenye vitu vingi sana, ile feeling ya kutaka kuonekana kuwa wanajua sana mbele ya ndugu, marafiki & mitandaoni ndo kinachoponza kwenye miserereko mingi.
 
One dollar lawyer drama imeanza halafu talnam umeamua kukaa kimya.

Ikiwa unashindwa kuvaa suruali yangu hivi utaweza kweli kuvaa viatu vyangu.

Kwa mamlaka niliopewa nakuvua uanachama wa team namgoong min.

Kwa sababu ya kushindwa kumsaidia kazi admin TRAB.

Aigoooo
 

Sept 23 mapema kabisa
Nimeshusha ep 1 na haijaisha kwa kutegemea kitonga

Nashindwa kujimwambafy kabisa

Sema hili suruali lako la joseon era umpe Numbisa,Al hadid na Mac ndo Mguu mmoja utawatosha kwa genre zao

Mimi ndo nipo kwenye zile kamba za makofia ya Noble family [emoji1787]
Bae Nam goo min atatizamwa with all means
Alongside na Little women Na Blind

Narco saint imeisha huyu Pastor na Park haeso wametisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…