HahahaNashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
Lugha gani hiyoThe Law Cafe,Comedy+Law+Love Story[emoji91][emoji91]
Ni mwendo wa vifungu vya sheria tu
LEE SEUNG GI hajawai kuwa na kazi mbovu...View attachment 2366714View attachment 2366715View attachment 2366716
The Law Cafe,Comedy+Law+Love Story[emoji91][emoji91]
Ni mwendo wa vifungu vya sheria tu
LEE SEUNG GI hajawai kuwa na kazi mbovu...View attachment 2366714View attachment 2366715View attachment 2366716
Hahahaha hii ilinikuta enzi zile nadownload ALL OF US ARE DEAD, nilipanga kuangalia episode 1 kisha nilale ila nililala saa 10 kasoro baada ya kuangalia episode nne.Nashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
Kuna vijana wa ovyo sana,wajinga,wapumbavu na malimbukeni.
Inasikitisha sana
Watz wengi bado ni uncivilized kwenye vitu vingi sana, ile feeling ya kutaka kuonekana kuwa wanajua sana mbele ya ndugu, marafiki & mitandaoni ndo kinachoponza kwenye miserereko mingi.Wabongo sijui tuna nini daah. Saiv inaniuma sana kila nikinunua vocha nshazoea mseleleko
Watz wengi bado ni uncivilized kwenye vitu vingi sana, ile feeling ya kutaka kuonekana kuwa wanajua sana mbele ya ndugu, marafiki & mitandaoni ndo kinachoponza kwenye miserereko mingi.
Anataka kuonekana anajua as is ni yeye katengeneza hizo files, hopulesi kabisaWatz wengi bado ni uncivilized kwenye vitu vingi sana, ile feeling ya kutaka kuonekana kuwa wanajua sana mbele ya ndugu, marafiki & mitandaoni ndo kinachoponza kwenye miserereko mingi.
Wanabakwa tu hao eti kuna jitu moja lilikuwa linataka kuniuzia file la Http custom slow dns wakati najua kutengeneza,ile nayo wakapiga pini.Anataka kuonekana anajua as is ni yeye katengeneza hizo files, hopulesi kabisa
Hiyo avatar yako ni ya drama gani?Wanabakwa tu hao eti kuna jitu moja lilikuwa linataka kuniuzia file la Http custom slow dns wakati najua kutengeneza,ile nayo wakapiga pini.
Wanajiita hackers kumbe empty tu
Nimemuona nam joo hyuk.Hiyo avatar yako ni ya drama gani?
Hahahaha hii ilinikuta enzi zile nadownload ALL OF US ARE DEAD, nilipanga kuangalia episode 1 kisha nilale ila nililala saa 10 kasoro baada ya kuangalia episode nne.
Wangapi wanaangalia hii drama mpya "Blind" nataka tupeane scenarios flani
Eeh hata mimi nimeona huyo mgongoni kama SuzyNimemuona nam joo hyuk.
Huenda ni start-up drama
One dollar lawyer drama imeanza halafu talnam umeamua kukaa kimya.
Ikiwa unashindwa kuvaa suruali yangu hivi utaweza kweli kuvaa viatu vyangu.
Kwa mamlaka niliopewa nakuvua uanachama wa team namgoong min.
Kwa sababu ya kushindwa kumsaidia kazi admin TRAB.
Aigoooo
Eeh hata mimi nimeona huyo mgongoni kama Suzy