Mimi ukiniambia nitaje character tano bora za Kim seon ho list itakuwaHumu ndo nilipo fall completely kwa My beb Kim seonho, alinyanyasika sana[emoji26][emoji24]
Drama ikiwa kali unavutiwa kuiangalia kwa kasi sana, lakini pia huwa kuna ka feeling kakutamani isiishe.Hii ilikuwa na balaa mi nilikesha kabisa
Kwenye NARCO SAINTS huyu pastor kavaa uhusika vizuri sana na kuna funzo kubwa wametoa juu ya watu wenye utajiri mkubwa ambao huwa wanapenda kuonekana humble sana mbele za watu, jinsi drama ilivyoanza sikutegemea kabisa kama Pastor ndo alivuruga ile biashara ya PARK INGU[emoji1].Sept 23 mapema kabisa
Nimeshusha ep 1 na haijaisha kwa kutegemea kitonga
Nashindwa kujimwambafy kabisa
Sema hili suruali lako la joseon era umpe Numbisa,Al hadid na Mac ndo Mguu mmoja utawatosha kwa genre zao
Mimi ndo nipo kwenye zile kamba za makofia ya Noble family [emoji1787]
Bae Nam goo min atatizamwa with all means
Alongside na Little women Na Blind
Narco saint imeisha huyu Pastor na Park haeso wametisha sana
Hii ni ya mwaka 2012?Nashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
Hii ni ya mwaka 2012?
Kwenye NARCO SAINTS huyu pastor kavaa uhusika vizuri sana na kuna funzo kubwa wametoa juu ya watu wenye utajiri mkubwa ambao huwa wanapenda kuonekana humble sana mbele za watu, jinsi drama ilivyoanza sikutegemea kabisa kama Pastor ndo alivuruga ile biashara ya PARK INGU[emoji1].
Mimi ukiniambia nitaje character tano bora za Kim seon ho list itakuwa
1. Han ji-pyeong
2. Han ji-pyeong
3. Han ji-pyeong
4. Chief Hong
5. 100 days my prince (nimesahau jina)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakunyanyasika bwana ye ndio alikuwa ananyanyasa wenzie
Jeshi limewapenda zaidi.View attachment 2368294
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko kama mimi msanii nikimpenda kwenye romcom naanza kumsubiri kwenye action[emoji1787][emoji1787] kimapenzi aliteseka
Yupo vizuri
Bado action movie sasa
Alitakiwa atuachie action moja matata tuhangaike nayoSo kang aende tu maana last year alikua na kazi bampa to bampa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko kama mimi msanii nikimpenda kwenye romcom naanza kumsubiri kwenye action
Alitakiwa atuachie action moja matata tuhangaike nayo
Huyu amuachie Numbisa vitu anavyopenda ye episode ya pili kashakulana [emoji23][emoji1787]
Tusubir akirud jeshi sasa Huo moto kama hawatotokea wakali akabak kuwa legend
Haswaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Pale ndo usexy unazidigi[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana..Huyu amuachie Numbisa vitu anavyopenda ye episode ya pili kashakulana [emoji23][emoji1787]
Tusubir akirud jeshi sasa Huo moto kama hawatotokea wakali akabak kuwa legend
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wale jamani walikuwa wamefanya kama chakula. Nilikuwa namuonea huruma sana yule dada japo nilijaribu kuvaa viatu vyake nikamuelewa vizuri [emoji16][emoji16]Huyu alipitiliza kwenye nevertheless [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila muda jamani.
Huyu alipitiliza kwenye nevertheless [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila muda jamani.