Daaah inauma kwakweliWabongo sijui tuna nini daah. Saiv inaniuma sana kila nikinunua vocha nshazoea mseleleko
Hakuna drama yoyote ya korea ambayo inawaonyesha kama heavy users wa simu zao za mikononi, mara nyingi eti mtu hana tima kabisa na simu zaidi ya kupokea na kusoma txt tu na hapo ni maongezi mafupi sana.
Kila mkorea huwa hana muda kabisa na simu[emoji1]
Hilo swala la kuzima TV baada ya breaking news ni kama huwa wanasubiria habari tu ili wazime TV[emoji23].Sio tu muda wa simu hata video hawana muda nayo wanaangalia breaking news tu kisha kideo kinazimwa. Laptop hawazimi(logout)wanaifunga tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi nimeliona hili, utashangaa mtu analalamika yupo bored na ana smartphone daah...ila inawezekana hawapo hivyo kweli maana lingekuwa ni jambo ambalo ni common kwao tungeliona (mawazo yangu). Addiction pekee niliyoiona ni gamesHakuna drama yoyote ya korea ambayo inawaonyesha kama heavy users wa simu zao za mikononi, mara nyingi eti mtu hana tima kabisa na simu zaidi ya kupokea na kusoma txt tu na hapo ni maongezi mafupi sana.
Kila mkorea huwa hana muda kabisa na simu[emoji1]
Namalizia zangu Once Upon A Small Town.
Nilipata mood ya kuitazama kwa ajili ya bias wangu Joy toka Red Velvet.
Anyway hizi byuti standards kwa nn na wadada wa Kibongo msijaribu[emoji23][emoji23]View attachment 2371459
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata mimi nimeliona hili, utashangaa mtu analalamika yupo bored na ana smartphone daah...ila inawezekana hawapo hivyo kweli maana lingekuwa ni jambo ambalo ni common kwao tungeliona (mawazo yangu). Addiction pekee niliyoiona ni games
Mbona kitonga bado ipo asubuhi hii nimepakua drama 2Daaah inauma kwakweli
Nilikuwa nashusha GB 3.5 ASUBUHI tu
Mbona kitonga bado ipo asubuhi hii nimepakua drama 2
Kuna jamaa yangu hawa actresses walio chini ya miaka 30 hawamvutii sana anapenda wale waliovuka hapo,anyway baada ya kuangalia hizi makjang dramas kama Penthouse,Sky Castle,Mine n.k nikaelewa kwa nn.
Anavutiwa na elegance style yao sema daah wanavutia no wonder miaka hii vijana wa Kikorea wanadate sana na wanawake wakubwa kwao [emoji23][emoji23]
Weee sema hakyamungu....basi mimi nilivyokaa kinyonge utanihurumiaMbona kitonga bado ipo asubuhi hii nimepakua drama 2
Mimi nikiwa na episode chini ya kumi kwenye simu najihisi siko salama kabisaShare basi tupate kusimuliana vizuri
Hata dm
Tangu juzi naenda sehem zenye wi- fi za watu, nishajichokea
Mimi nadhan nina addiction nimeipata ya kudownload wakorea. Yani siku ikipita sjjashusha nasikia kuumwa[emoji26]
Weee sema hakyamungu....basi mimi nilivyokaa kinyonge utanihurumia
Mimi nikiwa na episode chini ya kumi kwenye simu najihisi siko salama kabisa
Ki Indonesia nahisi! Hivi indonesia wanatumia lugha gani?Lugha gani hiyo