Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Licha ya Penthouse kuwa makhang lakini drama ile ilinivutia sana S3 walikuwa wanatupa arosto kinoma ya Episode 1 kwa wiki...
 
Hali ni tofauti upande wa pili...hawa vijana wa 90s aisee wapo so [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ingawa kaka zao hawako nyuma pia[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa muonekano wake anafaa serious character ni sawa ni ji sung wa vagabond umuweke kwenye comedy naona kama atakuwa kituko
Jisung wa vagabond??? Kama unamzungumzia Lee seung gi aisee yule ananogesha sana kwenye comedy...hata huyo Jisung mwenyewe ni mbaya kwenye comedy kama huamini angalia Kill me heal me au protect the boss. Usichoelewa ni kwamba hao watu wanaijua kazi yao vizuri sana, ukimuona Ji Chang wook kwenye Melting me softly hutoamini kama ndio yule ulimuona kwenye Healer na K2...wanajua kuuvaa uhusika haswaa
 
Level hii bongo sijui tutafika mwaka gani Riyama kwenye scene za kuchamba Ndio mwenyewe ukimleta kwenye aina nyingine tofauti anakuwa garasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…