Mfate PM hapa Kuna wachimbachumvi wengi sana
Kwani huwezi kuchukua kwenye flash, memory n.k?Nilikuwa Na download...lakini bei za vifurushi hazishikiki.......
Nahisi uki purchase Cds ni afadhali kidogo
Guys nimeangalia joy of life and to be truly hii ni zaidi ya Kali, hope nanyi mta enjoy
Naweza piaKwani huwezi kuchukua kwenye flash, memory n.k?
Mtandao upi boss??Kitonnga kidumu milele nimetoka kupakua Warm and Cozy yote mida hii
Trust me, hii Haina Cha kufanana sura lakini pia ni bonge la storyShukrani mkuu ila chinese drama zinanipa shida sana hasa sura zao na majina yao. Nipo na truth or dare ila kila siku naangalia nusu episode naboreka,kuifuta ngumu sana maana nimeivuta yote na actor ana ka uhandsome nitaimalizia taratibu tu
Wamezipa mgongo kivipiWho remembers this scene?
View attachment 2373016
Nasikitika sana Wakorea kuzipa mgongo hizi historical dramas.
Deep rooted tree🔥🔥Who remembers this scene?
View attachment 2373016
Nasikitika sana Wakorea kuzipa mgongo hizi historical dramas.
Hazitoki tena kwa sasa, hata zinazotoka bajeti yake wameifinya sana hazina makali kama zamani..Wamezipa mgongo kivipi
Hizi mambo acheni kushare humu wazi mtumie PMNchi ina vijana wasenge sana hii washachoma kitonga kingine cha 24hrsView attachment 2373832
Wajinga sana hao yaani saa hizi mtu akipata chimbo bora atumie kivyake ili lidumu.Hizi mambo acheni kushare humu wazi mtumie PM
Kuna vijana vichwa panzi washenzi sana.
Nchi ina vijana wasenge sana hii washachoma kitonga kingine cha 24hrsView attachment 2373832
I thought you will marry she and him tomorrow.Nimerudi kutoka Gwaminsong, ile ilikuwa ngome ya shetani, vita imenikuchua muda mrefu sana, kubwa zaidi nimerejea na ushindi. Kwako Cammanda Komu
Ukisikia u-serious wa kazi ndio huo, tofauti na wajinga wenu wa taifa wakiongozwa na mkojani na yule pembe na rungu lake.Mbona hapa kapungua sana, ule mwili alicheza nao kwenye THE VEIL ulienda wapi?
Ukisikia u-serious wa kazi ndio huo, tofauti na wajinga wenu wa taifa wakiongozwa na mkojani na yule pembe na rungu lake.
huyo mkojani muda wote yeye anavaa seruni utadhani kapasuliwa mshipa wa korodani, hao wazee wa kipemba wenyewe siku hizi wanavaa suti za kaunda wanapokwenda vibanda vya kahawa.
wenzetu hizi roles wanazozibeba katika tamthilia au movies hupendelea kuzifanyia tafiti kabla ya kuanza kwa mchakato wa shooting.
ngoja nikupe mfano wa song il kook (mwanadamu aliyechangia niwe mlevi wa hizi kazi za wakorea).
unaikumbuka a man called god drama ya miaka 12 iliopita?
ndio ni miaka 12 sasa, kama bado maisha yako ni hohe hahe kama ya kwangu basi zifute ndoto za kuwa bakhressa ila unaweza kuwa kama harmonize wa maraikaa.
song il kook anapenda kula sana sana (tafuteni show ya return of superman mutafahamu ninachokizungumza), si hilo tu jamaa ni vegetarian kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
role ya peter pan ilibadili mfumo wake mzima wa maisha, ile sexy body ya mule ndani haikupatikana kwa kula dagaa wa mwanza na chai ya mdalasini wa kipemba.
- alikuwa anaingia gym masaa saba kwa siku, licha ya kwamba alikuwa na maumivu ya bega alioyapata kutokana na kuanguka akiwa anaendesha farasi wakati akishoot kingdom of the wind drama.
- alipunguza uzito wake kwa takribani kilogram 10 au zaidi, ndio akawa na shape ile
- alitafuta mtaalamu wa nywele , yale manywele hayakuota tu wenyewe kama nywele za mwendawazimu wa kidongo chekundu
- alitafuta leseni ya udereva wa vyombo vya maringi mawili, bila ya shaka alijifunza kuendesha na honda
- aliachana na mboga mboga akahamia katika protein
- alijiandaa kwa miaka miwili kucheza role ya peter pan
huku kwetu mtu anaigiza maisha ya kipato cha laki 7 kwa mwezi lakini anamiliki seruni ya 200 inayouzwa beba beba sokoni kwa michael.
ndio maana CD huwa nazivunja nikiziona zimekaa ovyo ukumbini.