Niko zangu naangalia one dollar lawyer nafurahi tu ndio kwanza nipo episode ya tatu, napendaga drama zilizochangamka toka mwanzo
Hiyo emergency love alo itaja mwamba hapo juuIpi?
Niko zangu naangalia one dollar lawyer nafurahi tu ndio kwanza nipo episode ya tatu, napendaga drama zilizochangamka toka mwanzo
Yaani bae wa kwako jina nikumbuke mimi khaa[emoji1][emoji1] Asante kwa kunikumbusha
[emoji16][emoji16][emoji16] sijaelewa ila acha tu hivyo hivyoHata siku spoil
Nayo ni spoiler[emoji2957]
Uwongoyote majina yake hyo movie
Mi nshaionaNani kaona hii Emergency Love (crash landing for you). yoon seri na captain RiView attachment 2422143
Wanawake wa korea wakitumia shindano ya mkono kwa ajili ya kushonea ni lazima wajichome kidoleni.
Script hii imeshachosha bwanaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi mbona sijawahi kujichoma miaka yote hiiWanawake wa korea wakitumia shindano ya mkono kwa ajili ya kushonea ni lazima wajichome kidoleni.
Script hii imeshachosha bwanaaa
Au ile eti chakula kibaya mtu anatema humohumo kwenye bakuli...wananikera sana. Hivi kweli hata kama mtu hajui kupika chakula ndio hakiliki kabisa?Je kuongeleshwa kitu kisha mtu anapaliwa au kuzitema tambi bado haijakuchosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila hawa watu jamani hadi sinki la jikoni wanapigia mswaki hapo
View attachment 2422704
Chawa wa mishil ,
Huyu mmoja ni ni ndugu yake na mwengine ni mwanawe .
Wameonekana mitaa ya kwa hajitumbo wakitafuta mganga atakayeweza kumrudisha tumboni mtoto aliyekwisha zaliwa aitwae deok man
Picha na muandishi wetu mnywaji urojo
Au ile eti chakula kibaya mtu anatema humohumo kwenye bakuli...wananikera sana. Hivi kweli hata kama mtu hajui kupika chakula ndio hakiliki kabisa?
Daemushin hizi hapamsaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako
ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Busy mkuu na mishe za mjiniHivi INNO yuko wapi? Ni siku nyingi sana sijamuona humu.
Dah! Umenikariri ile mbaya π€£π€£π€£INNO kwenye upande wa korea drama hana utofauti na roboti
- Empress ki
- Innocent defender
- Muhasibu anayefanya kazi na wahuni
- Whisper
- Madirector wanamuangusha ha ji won
Bora nilivyopata mtu wa kutetea The empress ki kiukweli hii drama ni kwere imetengenezwa imetengenezekaEmpress ki hatari sana hii Drama
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Emergency love ni jina jingine au ni jina la Dj Afro?