DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
tamka kim ji wonYule dada mzuri wa kwenye liberation notes hayupo[emoji45]
yu wapi kifimbo cheza aje amtandike mwanafunzi mtukutu
teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tamka kim ji wonYule dada mzuri wa kwenye liberation notes hayupo[emoji45]
Hii drama mnanishawishi sana kuifuatilia, sema moyo unakuwa mzito sana kufanya maamzi.Jamani malikia wetu anatujali hata sisi watazamaji kutoka mchamba wima usukumani pembaa
Mtoto wa waziri wa ulinzi ndiye crown princess?
Nasubiria mvujo wa jeneza la queen dowager
View attachment 2420073
nimeligundua kosa langu, kumbe halihusiani na kimoitvAaah kweli hicho ni kitu kizito, lakini mbona mimi niliipakua kutoka huko na episode zote zilicheza?
haechi nimebahatika kuiangalia.Sema nimeangalia nyingi hadi zinanitoka hadi nashindwa kuelezwa sababu ila kuna historical drama ile ya Jung Il Woo Haechi ina moto sana second male lead ni machachari nilimkubali sana pia zile politics zake.
karibu uwanjani na jezi zakoHii drama mnanishawishi sana kuifuatilia, sema moyo unakuwa mzito sana kufanya maamzi.
kwa sababu ya mgao wa maji ya mto ruvu huko kwenu ndio huna muda wa kuandika maelezo.Ingekuwa drama peke yake ningeandika Ila maelezo siwezi kwa kweli
ambaye hajaweka drama zake pendwa amevunja urafiki na daemushin.
gudi night wapinzani wangu wenye ngozi za kenge
yote tisa....hivi TID bado ana akili timamu?
- siruhusa kuombana chumvi wala sukari kuanzia kesho
- wala salamu tusipeane
- mmoja kasema hawezi kuandika maelezo, kwani nimemwambia aniandikie makala za shigongo
- mmoja kauliza unataka drama za mwaka gani, huenda hajui kusoma na kuelewa.....sijui huko shule alienda kuokota mawe na mifuko ya plastiki
- mmoja ndie hajacomment kabisaaaa.....huyu nampiga ban ya milele
nimeangalia interview zake, nimecheka sana
daemushin na wapinzani wake kuanzia kesho
muda wa kutubia umekwishaSi umekataa family dramas.Hapa nilipo nina huzuni kweli kweli maana nimeangalia family drama za ep 50 karibia zooteee.
jinsi anavyowazingua waandishi wanaomfanyia mahojianoTID akili zake anazifahamu mwenyewe na mwenzie chid bez
Zile za SBS,MBC,tVn n.kHivi icon ipi mnazungumzia?
hii sentensi hukuiona katika mchango wangu?
hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
ahjumma punguza kula kimchi
ambaye hajaweka drama zake pendwa amevunja urafiki na daemushin.
gudi night wapinzani wangu wenye ngozi za kenge
yote tisa....hivi TID bado ana akili timamu?
- siruhusa kuombana chumvi wala sukari kuanzia kesho
- wala salamu tusipeane
- mmoja kasema hawezi kuandika maelezo, kwani nimemwambia aniandikie makala za shigongo
- mmoja kauliza unataka drama za mwaka gani, huenda hajui kusoma na kuelewa.....sijui huko shule alienda kuokota mawe na mifuko ya plastiki
- mmoja ndie hajacomment kabisaaaa.....huyu nampiga ban ya milele
nimeangalia interview zake, nimecheka sana
daemushin na wapinzani wake kuanzia kesho
[emoji28][emoji28][emoji28] ahsante kwa kutusemea sisi penda pendaSubiri sasa
Kwani ulitoa muda?
Una gubu mzee wa kizanzibar
Ungemuuliza inno lilikua swali rahis [emoji23] sisi tunaopenda kila kitu inabid tutulize akili kujiuliza ndo ile au ipi
Hivi INNO yuko wapi? Ni siku nyingi sana sijamuona humu.[emoji28][emoji28][emoji28] ahsante kwa kutusemea sisi penda penda
Inno juzi nimemuona humuHivi INNO yuko wapi? Ni siku nyingi sana sijamuona humu.
HahahahaahaaaaSubiri sasa
Kwani ulitoa muda?
Una gubu mzee wa kizanzibar
Ungemuuliza inno lilikua swali rahissisi tunaopenda kila kitu inabid tutulize akili kujiuliza ndo ile au ipi![]()
Wazazi wa kiume wa kikorea ukiwapelekea mchumba wa kiume wanafurahi kweri kweri.Jamaa kwa furaha akaanza kuisave namba,akatokea pacha mtu akamwambia hio ni namba ya Baba yao