Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

dowager huwa ana roho nzuri kwenye family dramas. Ndo maana humu nainjoi vituko vyake😂😂😂hadi muda sijampata wa kumchukia mule
Sisi wa kitonga tunasubiria kesho[emoji3]

Ila hii drama kali

Yule Queen Dowager kaiweza roho mbaya
Vile vindevu ya king na wale ministers wake huwa natamani nishike mkasi nivinyoe maana vimechanwa vizuri😂😂😂😂😂😂
 
dowager huwa ana roho nzuri kwenye family dramas. Ndo maana humu nainjoi vituko vyake[emoji23][emoji23][emoji23]hadi muda sijampata wa kumchukia mule

Vile vindevu ya king na wale ministers wake huwa natamani nishike mkasi nivinyoe maana vimechanwa vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio anakuwaga na roho nzuri si ndo yule kwenye hospitalvplaylist pia

Yani ameifungua Ep 09 kikaksi kha

Hahahaha umenotice kuna siku zinakua kama zimepakwa superblack zimekoaa
 
Ndio anakuwaga na roho nzuri si ndo yule kwenye hospitalvplaylist pia

Yani ameifungua Ep 09 kikaksi kha

Hahahaha umenotice kuna siku zinakua kama zimepakwa superblack zimekoaa
Sema huyo Bibi akichezaga Mama kwenye baadhi ya drama utampenda kama A thousand days promise na My father is strange,kuna hotel king mule ndani alicheza kama Mama wa Lee Dong Wook halafu hawajuani kama ni Mama na Mtoto halafu wakawa na bonge la bifu.

Kuna Babel mule ndani ndio ana roho mbaya si kitoto
 
Aiseeh kwenye Kdrama kuna comedy zinafurahisha sana.[emoji23]

Hapa hawa commoners walikuta msosi ambao ulibakizwa na nobles, sasa kutokana na msosi kunukia vizuri tofauti na waliyozeo, jamaa mmoja kati ya hao wawili akasema "No wonder watu huwa wanasema haja kubwa za nobles huwa zinanukia vizuri"

Mwenzake akachagiza kwa kusema kama inavyoonekana kwenye picha[emoji23]View attachment 2408283

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa si walipigwa sumu hapa
 
Sema huyo Bibi akichezaga Mama kwenye baadhi ya drama utampenda kama A thousand days promise na My father is strange,kuna hotel king mule ndani alicheza kama Mama wa Lee Dong Wook halafu hawajuani kama ni Mama na Mtoto halafu wakawa na bonge la bifu.

Kuna Babel mule ndani ndio ana roho mbaya si kitoto

Ndio maana ananishangaza, Yani typical mkwe wa kiafrica asipokukubali tabia zake.

Babel ndo yupi?
 
Ila ukitizama romantic series za kikorea unaweza kuhisi we hujawahi kupendwa maisha yako yote
Hii love in contract ile episode ya mwisho wanavyotizama pale jamani hadi unajiuliza na wenzangu mnatizamanaga vilevile au wakitizamana wakorea inatosha?🤣🤣🤣🤣🤣🤣wajinga wale wanajua kutufanya tuone hatujui kupendana!
 
movie za korea hazipaswi kuigwa kwa tendo lolote lile, hii ni kwa sababu matendo wanayohubiri hayaendeni na tabia za kimaumbile za mwanadamu.

kazi kwako.
 
😂😂😂😂😂Karibu hakikisha unakua mbishi kama grand prince muan. Lile bahari sijui ziwa nimelipenda pale linapokutana kwa kuacha ka njia
utakapofika muda wangu wa kukutembelea kwa waziri mkuu tafadhali niambie,
mtongozo wangu utachukua masaa matano kama movie ya chakorii
 
Arthdal Chronicles 2
1668486049653.png
1668486060479.png

1668486079144.png
1668486090162.png
 
Sijui huwa ni mimi tu au wote? Series ikitoka halafu ikakaa zaidi ya miaka 2 ndo ukatoka muendelezo huwa nakuwa nimeshasahau sehemu nyingi za sehemu ya kwanza kwahiyo nakuosa muunganiko wa story.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi wakibadili watu mzuka unakata

Hii naipenda sana, ila sijui kama mvuto utakua ule ule
 
Wakuu msaada naomba kufahamu jina la hii movie

Wakuu msaada naomba kufahamu jina la hii movie

Hii series inaitwa kati ya Anti-Japanese War au Vengeance siikumbuki vizuri maana niliiyona zamani sana, hii kitu ni kali sana na nimeitafuta sna bila mafanikio, anayeweza kupata link yake aka-share hapa tafadhali wakuu naomna mfanye hivyo!!!!
 
Back
Top Bottom