Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kuna mtu aliniambia sio nzuri ngoja nitaitazamaBest drama ila ilinishinda kwa sababu ya muigizaji mkuu.
Ipo siku nitairejea tena.
Popote ninapomuona amejawa na makasiriko kana kwamba kapokonywa hawara.
Anaitwa shin ha kyun
View attachment 2406713