GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Hii Ngoma wakati naiangalia ilinichosha kutokana na urefu wake ila sikukoma kutokana na utamu wake ilikuwa ndio series yangu ya kwanza. Kuna kipindi nilitamani nilitamani niweke screen kwenye dari ili niwe naandalia nimelala maana kiuno kilikuwa kinauma shauri ya kukaa.Umenikumbusha hizi moments ..
Lady Jungwa & Yum_moon
View attachment 2409561Halafu akashindilia msumari wa mwisho kikatili mno ,Mwanangu Yum_moon the Pirate haijawahi kupenda chochote zaidi ya huyo manzi.View attachment 2409566
Wakati huyu huzuni kwengine furaha General Hae_mosu alivyokutana na Lady Yuhwa kea mara ya kwanza baada ya mika 20 huku ikidhaniwa General ameshafariki .Mambo yalikuwa mazuri sana kwa upande wao.View attachment 2409574
Ila naishukuru hii series ilinipatia mpenzi wa nguvu