Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sema nimeangalia nyingi hadi zinanitoka hadi nashindwa kuelezwa sababu ila kuna historical drama ile ya Jung Il Woo Haechi ina moto sana second male lead ni machachari nilimkubali sana pia zile politics zake.
haechi nimebahatika kuiangalia.
forest nimeitafuta leo, ahsante sana kwa recommendation.
encounter nimeshaiangalia.
when my love blooms nimeshaiangalia,
ruler master of the mask itabidi nije nianze kuiangalia episode 1, hii niliikuta episode za mwishoni nikaamua kuiunganisha kibabe.
temperature of love niliishia episode 4, kumbe tunafanana hapo kwa seo hyun jin

ahsante sana
 
ambaye hajaweka drama zake pendwa amevunja urafiki na daemushin.
gudi night wapinzani wangu wenye ngozi za kenge
  1. siruhusa kuombana chumvi wala sukari kuanzia kesho
  2. wala salamu tusipeane
  3. mmoja kasema hawezi kuandika maelezo, kwani nimemwambia aniandikie makala za shigongo
  4. mmoja kauliza unataka drama za mwaka gani, huenda hajui kusoma na kuelewa.....sijui huko shule alienda kuokota mawe na mifuko ya plastiki
  5. mmoja ndie hajacomment kabisaaaa.....huyu nampiga ban ya milele
yote tisa....hivi TID bado ana akili timamu?
nimeangalia interview zake, nimecheka sana

daemushin na wapinzani wake kuanzia kesho
 
😂😂😂😂😂Si umekataa family dramas.Hapa nilipo nina huzuni kweli kweli maana nimeangalia family drama za ep 50 karibia zooteee. Zimebaki za episode 100 na kuendelea zinachosha sana hizo wanavuuuta matukio mpaka kero. Natamani nipate nyingi za episode 50

TID akili zake anazifahamu mwenyewe na mwenzie chid bez
ambaye hajaweka drama zake pendwa amevunja urafiki na daemushin.
gudi night wapinzani wangu wenye ngozi za kenge
  1. siruhusa kuombana chumvi wala sukari kuanzia kesho
  2. wala salamu tusipeane
  3. mmoja kasema hawezi kuandika maelezo, kwani nimemwambia aniandikie makala za shigongo
  4. mmoja kauliza unataka drama za mwaka gani, huenda hajui kusoma na kuelewa.....sijui huko shule alienda kuokota mawe na mifuko ya plastiki
  5. mmoja ndie hajacomment kabisaaaa.....huyu nampiga ban ya milele
yote tisa....hivi TID bado ana akili timamu?
nimeangalia interview zake, nimecheka sana

daemushin na wapinzani wake kuanzia kesho
 
ambaye hajaweka drama zake pendwa amevunja urafiki na daemushin.
gudi night wapinzani wangu wenye ngozi za kenge
  1. siruhusa kuombana chumvi wala sukari kuanzia kesho
  2. wala salamu tusipeane
  3. mmoja kasema hawezi kuandika maelezo, kwani nimemwambia aniandikie makala za shigongo
  4. mmoja kauliza unataka drama za mwaka gani, huenda hajui kusoma na kuelewa.....sijui huko shule alienda kuokota mawe na mifuko ya plastiki
  5. mmoja ndie hajacomment kabisaaaa.....huyu nampiga ban ya milele
yote tisa....hivi TID bado ana akili timamu?
nimeangalia interview zake, nimecheka sana

daemushin na wapinzani wake kuanzia kesho

Subiri sasa
Kwani ulitoa muda?
Una gubu mzee wa kizanzibar

Ungemuuliza inno lilikua swali rahis [emoji23] sisi tunaopenda kila kitu inabid tutulize akili kujiuliza ndo ile au ipi
 
Subiri sasa
Kwani ulitoa muda?
Una gubu mzee wa kizanzibar
Hahahahaahaaaa

Wewe ndio miongoni mwa wale wanaosikia tangazo muhimu ila wakaamua kujitia upofu wa makusudi.

Huenda ni utapeli
Huenda tangazo la utani
Huenda mgonjwa yuwaendelea vyema.
Huenda
Huenda

Hatimaye mgonjwa anakufa
Muda wa kuomba ajira unakwisha
Muda wa kuonana na mama samia mkizimkazi unakupita.

Una mambo mengi kama kitunguu thoumu.
Dawa ya meno wewe
Dawa ya nguvu za kiume wewe
Upishi wa pilau wewe
Upishi wa mchuzi wewe

Haya weka top 10 ya drama zako ulizoangalia tokea uwe mfuasi wa korea drama
 
Ungemuuliza inno lilikua swali rahis
emoji23.png
sisi tunaopenda kila kitu inabid tutulize akili kujiuliza ndo ile au ipi
  1. Empress ki
  2. Innocent defender
  3. Muhasibu anayefanya kazi na wahuni
  4. Whisper
  5. Madirector wanamuangusha ha ji won
INNO kwenye upande wa korea drama hana utofauti na roboti
 
Jamaa kwa furaha akaanza kuisave namba,akatokea pacha mtu akamwambia hio ni namba ya Baba yao
Wazazi wa kiume wa kikorea ukiwapelekea mchumba wa kiume wanafurahi kweri kweri.

Wanajua ohhoooooo
Nimeshapata mtu wa kunipa kampani ya kunywa soju.

Huku kwetu upembani utasikia....
Hutaki soma, nnakusomesha mpaka fomu 4 leo waniletea muhuni mbwa weyee.

Haya toka na huyo mbwa mwenzio
Numbisa wa pemba kawa mbwa.

Siku ya pili aliyeitwa mbwa anakuja na mahari ya millioni 10.

Eheeeee huyu ndiye mume nimtakaye.

Hatimaye baba naye anakuwa team mbwa
 
Back
Top Bottom