Siku nilipoitamani ndo nikajua ni matangazo kiujanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subway ilikamata kila drama
Racket boys [emoji1474]
Anhaa hii cheer up episode ya 12 itakuwa imekukuna sana
Bae in hyuk ni mnoma [emoji23]
Sana jamaa ipo romantic mno. kwenye queen umbrella akapewa watoto wawili chap chap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kinachoniuma ni south korea kufuzu hatua ya mtoano world cup daah episode 13 bye bye mpaka Christmas hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anayaweza kwakweli, mwenyewe nimemkubali kuwa vindege vile hata sion sun ho atafit wapi
[emoji23][emoji23][emoji23] episode tamu kuliko story line nzima
Jana hatukua na reborn rich kwasabab hiyo sijui watasherehekea wiki nzima[emoji26]
Queen umbrella wasiiguse aiseee ilivyo tamu. Kuangalia ongoing mateso sana
Ile SUBWAY kwakweli ilipata airtime ya kutosha.Wamerudi tenaaa
Kama enzi za subway hahaha
Halaf sikujuaga hata ni market strategy nilijuaga ndo sehem pekee wanaeza kula ya ki script[emoji23][emoji1]
Mi Shili alifanya kazi kubwa sana mule ndani, anakuua huku anacheka.Tokea nianze kuangalia na kufuatilia sanaa ya wakorea hususani upande wa tamthilia kwa miaka 11.
nashawishika kukiri ya kwamba sijapata kushuhudia uhusika wa muigizaji msaidizi ulioshiba na kujitosheleza kuzidi uhusika wa MI SHIL ndani ya queen seondeok drama.
Nimefika episodes ya 20 ya hii drama.
Nimeandika komenti hii nikiwa:-
sijalewa,
Zeco hawajakata umeme kwamba nimeandika gizani,
Sijavuta bangi,
Sijanywa sumu,
Sijavaa fulana ya chama dola,
Sijatekwa,
sijalala kwa hamida.
sijanywa mirinda nyeusi,
Sijaandaa kamba ya katani kwa kujinyongea,
Kudos kwa muandishi, kudos kwa director, kudos kwa makeup artist aliyehusika na upambaji wa mwanadada Go Hyung Jung, bila ya kusahau heshima iendelee kumfikia mtaalamu wa mavazi.
Huyu dada ameigiza ikiwa amerelax, mpaka nimefikia kujiuliza huyu mjinga anaigiza au ni uhalisia?
Ni haki yake kushinda tuzo ya grand prize, amemfundisha jinsi ya kuigiza mwanadada lee yo won
View attachment 2433669
Mimi nimeanza kupenda drama za magerezani, zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja. Sasa hivi nipo na prison playbook...mwanzoni Park hae soo aliniboa vile alikuwa amezubaa ila sasa hivi nimeipenda kwa kweliBig mouth nilikua naona uvivu kuiangalia ila nilipoanza kuiangalia comedy zake tu amazing inafurahisha sana
Hii Prison playbook nasikia ni nzuri ila sijawahi kuifuatilia kabisa.Mimi nimeanza kupenda drama za magerezani, zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja. Sasa hivi nipo na prison playbook...mwanzoni Park hae soo aliniboa vile alikuwa amezubaa ila sasa hivi nimeipenda kwa kweli
Ni nzuri sana...ila ndio kwanza nipo episode ya tanoHii Prison playbook nasikia ni nzuri ila sijawahi kuifuatilia kabisa.
Kaiseuteu na Yoo Han-Yang wana ufala sana humo [emoji1]Mimi nimeanza kupenda drama za magerezani, zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja. Sasa hivi nipo na prison playbook...mwanzoni Park hae soo aliniboa vile alikuwa amezubaa ila sasa hivi nimeipenda kwa kweli
Ni nzuri sana...ila ndio kwanza nipo episode ya tano
Nilidownload wakat natiza racket boys ila sijui hata ipo kwa device ipi dah
Hii ni one among the best mkuu nimeimaliza week jana. Mwanzoni nilivomuona yule main character alivozubaa nikadhani itakua kazi mbovu ila nilivomaliza kuiona ni moja kati ya kazi poa sana.Hii Prison playbook nasikia ni nzuri ila sijawahi kuifuatilia kabisa.
Kaist na kithethe chake [emoji16][emoji16][emoji16] kupitia hii drama ndio nimejua kithethe kwa lugha ya kigeni ni Lisp.Kaiseuteu na Yoo Han-Yang wana ufala sana humo [emoji1]