Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Umeshakuwa master katika hiyo sekta.
Hayo majina mengine ndio kwanza nayasikia kutoka kwako.

Una haki ya kushabikia na kufuatilia chochote unachoona kitakupa utulivu nafsini, jambo lenyewe likiwa haliendi kinyume na maadili ndio furaha huzidi zaidi.

Endelea kusonga mbele

Geonbae
Cheers

[emoji1787][emoji1787][emoji1491]
 
Top 10 Highest Rated Cable TV Dramas

1. The World Of the Married - 28.4%
2. SKY Castle - 23.4%
3. Crash Landing On You - 21.7%
4. Reborn Rich 19.4% (ongoing)
5. Reply 1988 - 18.8%
6. Goblin - 18.7%
7. Mr. Sunshine - 18.1%
8. Extraordinary Attorney Woo - 17.5%
9. Mr. Queen 17.4%

10. Under The Queens Umbrella 16.9%

umeangalia ngapi?
dae hajaangalia tatu, reborn rich sijaanza kuiangalia japokuwa naipakuwa kila episode inapotoka
View attachment 2437800
Crach landing on you
Reply
Goblin
Mr Queen
Extraordinary attorney woo
 
mchana wangu unasongeshwa na sauti ya park hyo shin, the king of ballad songs nchini korea upande wa kusini kwa mtazamo wangu.
pengine ndiye crown prince kwa matumizi ya husky voice
  1. after love
  2. A Road That Can't Be Found
  3. as always
  4. Autumn Letter
  5. close my eyes
  6. Distant memories of you
  7. The Day
  8. beautiful tomorrow
  9. breath
  10. buried pain
  11. because I'm common man
  12. dream
  13. far away
  14. flower letter
  15. snow flower
  16. fool
  17. gift
  18. go
  19. please
  20. good bye
  21. good person
  22. goodbye love
  23. happiness
  24. happy together
  25. home
  26. I know her
  27. I loved her
  28. I told you the word
  29. I'm your friend
  30. its true love
  31. lets hate to each other
  32. letter
  33. living things
  34. longing
  35. lost
  36. lover
  37. love that common
  38. me too
  39. memory resembles
  40. peter pan
  41. pianist
  42. please
  43. sand castle
  44. scattered days
  45. solace
  46. sound of winter
  47. standing in that spot
  48. That night of 1991, when cold wind blew
  49. dreamer
  50. the other day
  51. then
  52. things I cant do for you
  53. we don't know
  54. why would heaven tell me
  55. wild flower
  56. winter butterfly
  57. yearning
  58. it's you
  59. grief
  60. wind's blowing
============
umewahi kusikiliza ngapi?
huo namba 42 umfikie Gyeoul
huo namba 48 umfikie mama yangu mzazi, kwa matunzo yake dhidi yangu kwa miongo yote (jua,mvua, baridi, upepo, homa, shida, karaha, maudhi)
kiukweli sina cha kumlipa.
Mai Chingu, Umenifanya Nikoment Umu Baada ya Kipindi Kirefu. Shuklani Rafiki.

Nimeusikiliza Uo Wimbo na Nahisi Unajua ni Kati ya Wanamuziki Wa Korea Ninaowasikiliza Sana ila Sikuwah Iskia iyo Nyimbo, Nikiandika Sana Sijui Ntaharibu ama Umu si Mahala Pake.

Kamsahmnida Chingu.
 
mchana wangu unasongeshwa na sauti ya park hyo shin, the king of ballad songs nchini korea upande wa kusini kwa mtazamo wangu.
pengine ndiye crown prince kwa matumizi ya husky voice
  1. after love
  2. A Road That Can't Be Found
  3. as always
  4. Autumn Letter
  5. close my eyes
  6. Distant memories of you
  7. The Day
  8. beautiful tomorrow
  9. breath
  10. buried pain
  11. because I'm common man
  12. dream
  13. far away
  14. flower letter
  15. snow flower
  16. fool
  17. gift
  18. go
  19. please
  20. good bye
  21. good person
  22. goodbye love
  23. happiness
  24. happy together
  25. home
  26. I know her
  27. I loved her
  28. I told you the word
  29. I'm your friend
  30. its true love
  31. lets hate to each other
  32. letter
  33. living things
  34. longing
  35. lost
  36. lover
  37. love that common
  38. me too
  39. memory resembles
  40. peter pan
  41. pianist
  42. please
  43. sand castle
  44. scattered days
  45. solace
  46. sound of winter
  47. standing in that spot
  48. That night of 1991, when cold wind blew
  49. dreamer
  50. the other day
  51. then
  52. things I cant do for you
  53. we don't know
  54. why would heaven tell me
  55. wild flower
  56. winter butterfly
  57. yearning
  58. it's you
  59. grief
  60. wind's blowing
============
umewahi kusikiliza ngapi?
huo namba 42 umfikie Gyeoul
huo namba 48 umfikie mama yangu mzazi, kwa matunzo yake dhidi yangu kwa miongo yote (jua,mvua, baridi, upepo, homa, shida, karaha, maudhi)
kiukweli sina cha kumlipa.
and Unaweza fungua PM yako Nina Maongezi Mafupi ya Kukujuza.
 
Ina nini hiyo summer strike
Ni Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.

Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
 
Loh kati ya zote ulizonitajia sijaangalia hata moja
 
Ni Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.

Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
Hayo maudhui yangu pendwa
 
Back
Top Bottom