Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mie ni mpenzi sana wa hizo tamthilia za kikorea ila siku hizi napata shida sana kuzipata maana nyingi zilizopo zimetafasiriwa kwa kiswahili na watafasiri wengi huwa wanakosea sana kutafasiri na inaondoa ladha kabisa ya series yenyewe, sasa kama kuna mtu anajua ntapata wapi ambazo hazijatafasiriwa aniambie pliz
Nenda mwenge karibu na tra ulizia kwa johama season buku mbili
 
Msaada link ya kudownload IRIS 1 full episode bila kukatika parts,
Nimetumia dramafire.com imezingua
 
kwakweli..
mimi ni mpenzi wa historical
ni mwendo ma majambia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
sio vibunduki na modo za mjini[emoji23]
Ahahaaaaaah...
Ulivosema habari ya modo nimekumbuka City Hunter...
Humo ndani kuna kijana ananyuka vimodo ni hatari..!
 
Nitajie ambayo unahisi sijaona? Nikupe mbinu ya kuzimaliza! Nenda kwa dramafire.com wao wamezipost kuanzia herufi A mpaka Z hivyo anza kuangalia kwa kuanzia herufu A within a year utamaliza mbona! Sasa mimi nimeanza ziangalia 2013 mpk leo unadhan nimefikia wap? Na mimi huu ndo ulev wangu! Muda wote naokuwa free kazi yangu ni drama
Mkuu kazi unafanya sa ngapi maana navojua hizi vitu ukianza kuangalia ni mwendo wa kuadd tu
 
Haaaaaaaa yani hapo ninayejua alifanya surgery ni Kim Nana tu!

Nimeshtuka sana kumuona My girl (Lee da hae) kwenye list maana nampendaga sana.
Duuuuh

Pia Jang Woo (Kim hyun joong) nae sikutegemea,ila ana pua nzuriiiii
Hahahaaaa
Kumbe katengeneza?
Ni noma.
Duuh unaweza oa mtu ukashangaa mnafyatua watoto sio warembo wakati mama mzuri kumbe wana sura za kununua
 
Series Nilizonazo
2 weeks
3 days
A gentleman dignity
A love to kill
A man called god
Arrow
Bad boys
Beautiful day
Bichunmu
Blood
Boys over flowers
Bridal mask
Brilliant
Cheese in the trap
City hunter
Coffee Prince
Destined to love you
Doctor stranger
Dong Yi
Empress Ki
Faith
Fated to love you
Good doctor
Gu family book
Healer
Hear my heart
Heart string
Hero
Hiden identity
High society
Iljumae
Iris
Jackpot
Kill me or heal me
Kim so ro
Kingdom of wind
King dou chogo
Legend
Level 7 civil servants
Love rain
Mandate of heaven
Mask
My girlfriend is gumiho
My love from another star
Myung wol the spy
Playful kiss
Princess ja Myung go
Queen seon deok
Secret garden
Seven sword of Mt. Tian
Six flying dragons
Steal my heart
Stranger hero
The heir
The man from nowhere
The sun
Trees with deep roots
Triangle
Worriers
Yong pal
You are beautiful

Kundo
War of arrows
Psychic
Puzzle
No mercy


mkuu upo mji gani nije nikualimie
 
Back
Top Bottom