Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


[emoji1787][emoji1787][emoji1491]
 
Crach landing on you
Reply
Goblin
Mr Queen
Extraordinary attorney woo
 
Mai Chingu, Umenifanya Nikoment Umu Baada ya Kipindi Kirefu. Shuklani Rafiki.

Nimeusikiliza Uo Wimbo na Nahisi Unajua ni Kati ya Wanamuziki Wa Korea Ninaowasikiliza Sana ila Sikuwah Iskia iyo Nyimbo, Nikiandika Sana Sijui Ntaharibu ama Umu si Mahala Pake.

Kamsahmnida Chingu.
 
and Unaweza fungua PM yako Nina Maongezi Mafupi ya Kukujuza.
 
Ina nini hiyo summer strike
Ni Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.

Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
 
Loh kati ya zote ulizonitajia sijaangalia hata moja
 
Hayo maudhui yangu pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…