Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ishia tu hapo hapo ulipoona inakuboa maana inahusu masuala ya mizimu na mazingaombwe,its true inaboa kama haupendi masuala ya mizimu. Mie napenda kila kitu hivyo niliiangalia mpaka mwisho😂😂😂
Hatimaye nimemaliza prison playbook....nataka nianze From now on showtime ila naona kama inaniboa hebu Numbisa nitie moyo kuna siku nilisikia unaitaja
 
Ishia tu hapo hapo ulipoona inakuboa maana inahusu masuala ya mizimu na mazingaombwe,its true inaboa kama haupendi masuala ya mizimu. Mie napenda kila kitu hivyo niliiangalia mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeigugo nimeona inahusiana na mambo hayo ila naona kama imepooza na naona kama ndio zile drama zenye gizagiza
 
😂😂😂😂😂tena kama umetoka kuangalia drama tamu ya prison uje udondokee kwa showtime utajutia muda wako. Iweke kando chukua hata cheers up japo ni ongoing na inasua sua kuendelea ila itakupa burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeigugo nimeona inahusiana na mambo hayo ila naona kama imepooza na naona kama ndio zile drama zenye gizagiza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena kama umetoka kuangalia drama tamu ya prison uje udondokee kwa showtime utajutia muda wako. Iweke kando chukua hata cheers up japo ni ongoing na inasua sua kuendelea ila itakupa burudani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cheer up hainipi mzuka wa kuiangalia kabisa, halafu nina allergy na ongoing. Naomba pendekezo lingine la drama za mwaka huu, mwaka jana au mwaka juzi
 
Sijui kwanini Mudeok hajarudi kwenye hii season 2, na Naksu hamkumbuki JangOk.

Aaaagh

Mimi So min Nampenda kama Actress
Ila Alchemy nilivutiwa na Naksu anavyopaa
Nlikua Nna hamu nimuone anavyochezesha masword mpaka Ep ya pili sijaona ila bado nina matumain[emoji26]
 
Ishia tu hapo hapo ulipoona inakuboa maana inahusu masuala ya mizimu na mazingaombwe,its true inaboa kama haupendi masuala ya mizimu. Mie napenda kila kitu hivyo niliiangalia mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe kuna series iliyowahi kukushinda kweli?
 
Tempted
Judge vs judge
Our blues
Dr lawyer
The world of the married
The king's affection
Bad prosecutor
The Queen's umbrella
Chicago typewriter
Bossam steal the fate
High school king of savy
Love is for suckers


Niambieni ipi nianze nayo [emoji16][emoji16] mnipe tu ushauri ila sio lazima niufuate
 
Queen umbrella kisha bossam kisha our blues halafu world of married. Love is for sucker nimeivuta ila bado sijaiangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…