Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapo Queens umbrella, kings affection, the world of the married, our blues

Bossam nilijitahid hadi ep ya 10 ila dah hapana
Hiyo chicago yan ep ya pil sijaimaliza mwaka huu nikiifungua naona vibe haipandi

Dr lawyer nimeitazama ila nishasahau sijui

World of the married utizame unyama wa han so hee ... kali sana upande wangu
 
Zipo sema huwa naona soo kusema humu maana unakuta nimeisifia wee episode ya kwanza tu kisha nikakuta mbeleni yaliyomo sio basi nakaa tuliii kwa kushushuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787] kumbe ndo zako, utuambie na sie tusipoteze muda vile drama ni nyingi

Mie hapa natizama 25 21 naishusha hii mara ya pili ila angalau saiv nimefika ep ya tano

Hainip mzuka na leads wote nawaelewa[emoji17]
 
😂😂😂😂😂ngoja nianze na king's affection sema ule ukweli sikuielewa na ilinishinda mapema tu. Hio uliyoitaja pia sikumbuki kuimalizia ilinishinda mwanzoni tu
[emoji1787][emoji1787] kumbe ndo zako, utuambie na sie tusipoteze muda vile drama ni nyingi

Mie hapa natizama 25 21 naishusha hii mara ya pili ila angalau saiv nimefika ep ya tano

Hainip mzuka na leads wote nawaelewa[emoji17]
 
Asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nianze na king's affection sema ule ukweli sikuielewa na ilinishinda mapema tu. Hio uliyoitaja pia sikumbuki kuimalizia ilinishinda mwanzoni tu

Hivi kwanini alafu inasifiwa balaa nataman nifike hiyo climax ya ubora ila haifiki[emoji22]

Ni kama Mr Queen kila nikitazama ep ya kwanza sielew na haiishi, nikiinigia humu inasifiwa nikaona isiwe tabu nikaanzia ep ya 3 huko aah mbona tukaenda sawa
 
Kama golden spoon nilijaribu kuivumilia wee ikanishinda ep ya 5. Hope hii 2521 utafanikiwa mbeleni
Hivi kwanini alafu inasifiwa balaa nataman nifike hiyo climax ya ubora ila haifiki[emoji22]

Ni kama Mr Queen kila nikitazama ep ya kwanza sielew na haiishi, nikiinigia humu inasifiwa nikaona isiwe tabu nikaanzia ep ya 3 huko aah mbona tukaenda sawa
 
Hivi kumbe kuna historical ambazo hazina mapanga kabisa
Zipo halafu ni tamu saba nyingi huwa mapigano yake ni chini ya asilimia 10 kama vile

King's Daughter Soo Baek Hyang
The King's Affection
Tale Of Nokdu
Moonshine
Flower in Prison
Dong Yi
Hwang Jini
Queen for Seven Days
Flower Crew
Jang Ok Jung
Dae Jang Geum
Goddess Of Fire

Nyingine nyingi zimenitoka ila in fact watunzi wa historical dramas hujua mahitaji ya watazamaji sio lazima drama iwe na action sana kuitwa nzuri romance inatosha
 
Daah moonshine umenikumbusha yule crown prince bitozi...itabidi nitafute drama yake nyingine
 
Hivi kwanini alafu inasifiwa balaa nataman nifike hiyo climax ya ubora ila haifiki[emoji22]

Ni kama Mr Queen kila nikitazama ep ya kwanza sielew na haiishi, nikiinigia humu inasifiwa nikaona isiwe tabu nikaanzia ep ya 3 huko aah mbona tukaenda sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah mimi Mr Queen nilipoanza episode 1 niliangalia mfululizo hadi mwisho. Inaingia kwenye rekodi ya drama nilizoangalia kwa muda mfupi sana...nahisi niliimaliza ndani ya siku tatu
 
Crush landing on you mbona ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…