Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna watu humu wana tastes za kishamba aisee sema hebu tuwavungie tu[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] ila nyie mnachekesha kweli, mlio na taste za kijanja mnatengeneza pesa huko? Halafu kuna watu wanatuona sisi na ninyi wote washamba tu sijui mnapata wapi ujasiri wa kuwasema 'wakorea' wenzenu wana taste za kishamba. Anyway hata wao wakorea wanajua kuwa kuna washamba wengi ndio maana hizo za kishamba zinaendelea kutengenezwa....jiheshimuni washamba ninyi mxiiieeeww

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tu ilimradi wengine waonekane tofauti

Wakorea wenyew maboko kibao
Wangapi tunatizama boko la curtain call na tunaenjoy
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tu ilimradi wengine waonekane tofauti

Wakorea wenyew maboko kibao
Wangapi tunatizama boko la curtain call na tunaenjoy
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani nishindwe kuishi maisha yangu ninayoyafurahia nitafute kuonekana wa tofauti...bado sana. Mimi najua kuna watu wengi wanalazimika kuangalia drama wasizofurahia ili tu waonekane na wao wamo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha aieeh, huu mwaka tutaufunga na mengi sana😂.
 
Samahani wakuu, nje kidogo ya topic, mwenye kujua bas hii movie hapa chini inaitwaje na nawezaje kuipata?
Natanguliza shukrani🙏🙏🙏
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tu ilimradi wengine waonekane tofauti

Wakorea wenyew maboko kibao
Wangapi tunatizama boko la curtain call na tunaenjoy
Lakini kama kuna mtu au watu hawafurahii taste za mtu mwingine me naona ni sawa tu, na kuwakaripia au kuwatukana wanaopinga taste zako ni kuwalazimisha wazikubali.

Kitu ambacho kinafanya wote muwe kwenye kundi moja la kupigania kukubalika.

AMANI ITAWALE BWANA, kutofautiana ni jambo la kawaida.
 
Kwa nini upinge taste zangu wakati ni zangu sio zako? Unaruhusiwa kutoniunga mkono lakini sio kukejeli, huo ndio ushamba wenyewe tunaita. Na kwa nini utake kufurahia taste za mtu mwingine? Unampa bando? Furahia za kwako inatosha.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Amna bwana ila nawe itakua ulikua na mazonge, mbona ile text haikua na shida ila ulivyorudi kuijib doh


Btw
Hawatulipi
So long as ni burudani kila mtu aburudike na lwake

Sema nimejikuta najikumbusha ninavyoonaga wanaotizama dj murphy [emoji1787][emoji23] leo mdogo wangu kanifata anataka drama inheritance[emoji1787][emoji1787]ya lee min ho

Mara luck

Kumbe ndo boys over flower na Golden spoon[emoji1787] bado rat/ mouse
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo wengi
Reborn rich
Inataka nitumie akili
Afu akili zangu hazitaki kujichosha au hazipo kwa sasa basi nashindwa ku concentrate ila ep zinasogea
Nikija na list utajuaa [emoji16]
 
Ohoo mimi nimejibu to comment ya huyo jamaa, hakuna sehemu yoyote niliyowakukejeli raia yoyote humu, sijajua kwanini comment yako imeniwakia mimi moja kwa moja.

Ninaamini bila wasiwasi hata nikitaka unionyeshe comment yangu yenye viashiria vya kejeli hautaipata (haipo).

NB: TULIA KHANYWE, punguza munkari mama😄.
 
Hahaha daaah .

HOJA YA TATSTE sijaileta mimi, ila nashambuliwa mimi.

Comment yangu mbaya ni ipi mkuu, tuwe na Self-esteem tu mambo mengine ni madogo ila mnayakuza mno.

Siendelei na hii mada tena.
 
Hujanielewa kabisa,kwa namna nnavyowapenda Wakorea sijawahi hata kuponda kazi zao kuanzia drama hadi kpop.

Hilo jiwe nimewalenga watu fulani humu ndani wanajikuta wajuaji kuponda drama nzuri kabisa kisa tastes zao za kiboya
 
Unakejeli inderectly ili uje na utetezi kama huu, ukimuunga mkono anayekejeli wewe hiyo dhambi unaikwepaje mkuu acha kutufanya sie watoto hapa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo wengi
Reborn rich
Inataka nitumie akili
Afu akili zangu hazitaki kujichosha au hazipo kwa sasa basi nashindwa ku concentrate ila ep zinasogea
Nikija na list utajuaa [emoji16]
Niangalie drama za kutumia akili wakati akili zenyewe sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787] niacheni bwana mimi na romcom zangu...burudani kwanza mengine yanafuata eboo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna mmoja huyo alikuwa ananiambia aliangalia muvi inaitwa Mr Robot nikajua ni I'm not a robot...nikamwambia nipe stori yake ananipa stori tofauti kabisa. Nikamuonyesha picha ya Seung ho nikamuuliza ameigiza huyu? Akasema ehee ni huyohuyo basi nikabaki nimechanganiyikiwa maana nawajua watu wasioangalia kdrama wanapata wakati mgumu kuwatofautisha hawa actors. Nikajua huyu atakuwa aliangalia cd zile za kwwnye vibanda umiza[emoji16]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…