Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji16][emoji16][emoji16] ila nyie mnachekesha kweli, mlio na taste za kijanja mnatengeneza pesa huko? Halafu kuna watu wanatuona sisi na ninyi wote washamba tu sijui mnapata wapi ujasiri wa kuwasema 'wakorea' wenzenu wana taste za kishamba. Anyway hata wao wakorea wanajua kuwa kuna washamba wengi ndio maana hizo za kishamba zinaendelea kutengenezwa....jiheshimuni washamba ninyi mxiiieeewwKuna watu humu wana tastes za kishamba aisee sema hebu tuwavungie tu[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app