Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nenda mwenge karibu na tra ulizia kwa johama season buku mbili
 
Msaada link ya kudownload IRIS 1 full episode bila kukatika parts,
Nimetumia dramafire.com imezingua
 
kwakweli..
mimi ni mpenzi wa historical
ni mwendo ma majambia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
sio vibunduki na modo za mjini[emoji23]
Ahahaaaaaah...
Ulivosema habari ya modo nimekumbuka City Hunter...
Humo ndani kuna kijana ananyuka vimodo ni hatari..!
 
Mkuu kazi unafanya sa ngapi maana navojua hizi vitu ukianza kuangalia ni mwendo wa kuadd tu
 
Duuh unaweza oa mtu ukashangaa mnafyatua watoto sio warembo wakati mama mzuri kumbe wana sura za kununua
 


mkuu upo mji gani nije nikualimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…