Umbea huu
Nimeenda kutafuta acc insta labda ndo anayotumia[emoji23][emoji23]
Wazee wa drama za akili nyingi habari za mwaka mpya[emoji847][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja wenye umewasalimia waje kukujibuWazee wa drama za akili nyingi habari za mwaka mpya[emoji847][emoji16]
Dah huyu aliyeitunga anajua Sana,Kuanzia choice ya character mpaka scenario zenyeweMimi sikuipenda wala
jaribu kunitafuta kwa kutumia maandishi ya lugha hii, huenda utafanikiwa kuiona account yanguUmbea huu
Nimeenda kutafuta acc insta labda ndo anayotumia[emoji23][emoji23]
watu watafika mbinguni, wewe ndio kwanza upo BUZA unakula ugali wa muhogo.Hii komenti yako leo ndio nimeielewa eti
Khaa huu umbea ni wa viwango vingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jama hadi nimepaliwa
jaribu kunitafuta kwa kutumia maandishi ya lugha hii, huenda utafanikiwa kuiona account yangu
Naomba uongeze kasi ya kunitafuta::
Haya huko insta ulitegemea utakuta kitu gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji23] niliona kama mnatumia code[emoji1787]
Nikaenda kumaliza bundle na mie
Alchemy of souls season 1full ina epsode 20 za 1hr each
Season 2 ndo ina malizika jpili ina epsod 10
Huu mzigo sio wa kukosa una story nzuri na action za kutosha View attachment 2470536View attachment 2470537
Nilikua namchokoza mpemba wetu ili atuamdikie magazeti,tayari keshaanza kuyashusha si umeyaona huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alchemy of souls season 1full ina epsode 20 za 1hr each
Season 2 ndo ina malizika jpili ina epsod 10
Huu mzigo sio wa kukosa una story nzuri na action za kutosha View attachment 2470536View attachment 2470537
Mimi pia ngoja nianze kuishushaKumbe inaisha Jpili afadhali maana nimeishusha nasubiria episode zikamilike nianze kuiangalia
Nipe dokezo japo kidogo, pengine naweza kuwa msaada wa kuyafikia mategemeo[emoji16][emoji16]
Ningeona ndo ningejua mategemeo yangu Bw. Salim Park
Kwamba ulidhani huko instagram kuna account yenye jina la SALIM DAEMUSHIN natumia.Umbea huu
Nimeenda kutafuta acc insta labda ndo anayotumia[emoji23][emoji23]
Sema S02 mapigano yamepoa siyo kama S01...Jang Uk ana ice stone lakin bado sijaona mapigano yakusisimua kabisaaaAlchemy of souls season 1full ina epsode 20 za 1hr each
Season 2 ndo ina malizika jpili ina epsod 10
Huu mzigo sio wa kukosa una story nzuri na action za kutosha View attachment 2470536View attachment 2470537
Kwamba ulidhani huko instagram kuna account yenye jina la SALIM DAEMUSHIN natumia.
DAEBAK