Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wee ile kitu inaonekana process yake ni ndefu halafu sio ya siku mojaHivi kibongo bongo kimchi ndio kama kachumbari nini?
Inaitwaje hii drama?Huyu jamaa hanaga muda na madem kwenye movie zake, ni mzee wa akili mingiView attachment 2465435
Wewe na mimi tuna taste sawa naamini hii itakuwa nzuriDoctor prisoner
Na soju huenda ni gongoHivi kibongo bongo kimchi ndio kama kachumbari nini?
Kamanda naomba unitajie drama kali ukiachana hiyo ya doctor prisoner lakini isiwe ya porini na isiwe na maudhui ya fiction na supernaturalNa soju huenda ni gongo
Kimchi ni fermented cabbage. (Fermentation ni mada pana) lakini kwa kifupi njia hii hutumika kupreserve chakula na kufanya kidumu kwa muda mrefu na kukiongezea ladha mfano wa fermented products ni yogurt, wine, beer, kimchi nk.Hivi kibongo bongo kimchi ndio kama kachumbari nini?
Best actor jamaa aliyeigiza kama Daeso kwenye Jumong ,mwamba anajua sana nimemuona katika baadhi ya series yupo vizuri sana.Best drama to me jumong and faith and best actor ni lee min ho na han hyo joo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kwa nguvu...hapana bwanaNa soju huenda ni gongo
Supernatural tenaKamanda naomba unitajie drama kali ukiachana hiyo ya doctor prisoner lakini isiwe ya porini na isiwe na maudhui ya fiction na supernatural
Mimi nikiona muvi yupo yeye siangalii kabisa ,nimeiona muvi yake moja nimeisahau jina na wala sikumalizia ila mtaani muvi zake zinapendwa na kuuzika kwa sana .Wanaume wenzio wanampiga vita sana huyo jamaa[emoji16]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sipendi Korea drama zenye maudhui ya horror ( mambo ya giza) mbona umeshangaa nilivyosema supernatural?Supernatural tena
Hata mimi horror sipendi .. kama kuna ghost wasiwe wale wanaotisha sana. Si kwamba eti naogopa ni basi tu sipendi. Kuna drama mpya wamecheza Cha eun woo na Kim nam gil nilitaka niangalie ila hapana nimeona sitaweza baada ya kuangalia teaser.Sipendi Korea drama zenye maudhui ya horror ( mambo ya giza) mbona umeshangaa nilivyosema supernatural?
Hapana labda ume wrong number mimi napenda movie za uhalisia ndio maana sipendi zenye maudhui ya science fiction au horror labda horror za kizungu ndio napenda lakini si za wakorea.Hata mimi horror sipendi .. kama kuna ghost wasiwe wale wanaotisha sana. Si kwamba eti naogopa ni basi tu sipendi. Kuna drama mpya wamecheza Cha eun woo na Kim nam gil nilitaka niangalie ila hapana nimeona sitaweza baada ya kuangalia teaser.
Nimeshangaa kwa vile wewe huwa unasema hutaki drama ambazo hazina uhalisia
Nilikuwa sijasoma vizuri komenti yakoHapana labda ume wrong number mimi napenda movie za uhalisia ndio maana sipendi zenye maudhui ya science fiction au horror labda horror za kizungu ndio napenda lakini si za wakorea.
Nashukuru sijapokea povu kutoka kwako maana hamchelewagi kuniwakiaNilikuwa sijasoma vizuri komenti yako
Hata wewe yangu hujaielewa maana mimi nilisoma kama unataka hizo za supernatural...badala ya kunisahihisha kulingana na ulichosema na wewe unabisha tenaNashukuru sijapokea povu kutoka kwako maana hamchelewagi kuniwakia