Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ile ndoa isingedumu wote walikua mastaa hot sana na pia walipendana ghafla kule location. Nadhani lile joto lilipoisha wakagundua walikurupuka. Walivyoachana tu wengi waliguess issue ya mtoto

Hawa mastaa walioona juzi juzi hapa wao walifanya fasta kulindana sababu za mimba,hivyo hawa watadumu either kidogo au watavumiliana kulinda brand zao na watoto
Daah labda kama mwanamke alikuwa anakwepa kuzaa ila kama walikuwa hawajafanikiwa tu alifanya haraka mno kumuacha mkewe
 
Jo Min Ki yule alikuwa anafanya kwa wanafunzi wake wa kike.
 
Noma sana, mambo ya kupendana location... Ila basi tu bwana ilitokea bahati mbaya kwani walishakuwa location na watu wangapi
 
No hata kama location still kungekuwepo na sparks.

Mbona Ryu Soo Young na Park Ha Sun walikutana kwenye Two Weeks mwaka mbele wakaoana hadi sasa wapo pamoja.

Joo Sang Wook na Cha Ye Ryun walikutana 2016 kwenye Glamorous Temptation,2017 wakaoana na wana watoto hadi sasa wapo pamoja.(hii ni kati ya couple nnazozipenda sana navutiwa na uzuri wa Bibie wife wake Joo Sang Wook na jamaa mwenyewe ni HB flani aliyekaa ki-gentleman)


Watoto wanaunganisha family pakubwa sana nadhani shida kwao ilianzia hapo Song Hye Kyo alikuwa hata kwenye meetings za familia ya Song Joong Ki anasuasua kufika pia kwenye kuzaa alikuwa anadelay sana na according to rafiki yake wa karibu alikuwa na mpango baada ya project ya Encounter kumalizika ndio amzalie jamaa.

Unajua kihalisia ukiwa unaishi na mwanamke yupo bize still anasuasua kukuzalia na kila siku mpo pamoja huyo ni nduguyo ama? Mahaba yalianza kupungua hapa.

Ukifuatilia kwa kina Song Hye Kyo ndio anateseka sana na break up huwa insta yake kila ikifika birthday ya Song Joong Ki huwa anapost picha ya anga/mawingu na mashairi flani hivi yanatatiza,alimpenda sana jamaa ndio hivyo tena yeye ndio aliyeachwa.
 

Wewe ni wa pekeee [emoji3][emoji3]
Ongoing 124
 
Mimi sio mdau wa ongoing ila hizi drama mbili Crash course in romance na Kokdu nimeshindwa kusubiria

Mzee wa ongoing nipo hapa na
Crash course in romance
The interest of love
Strangers again
Kkokdu na Agency ndo nimezishusha

Alafu nina The Glory, humu song hye kyo sura inatoa taswira tofauti

Dating show zimeninogea nipo na pink lie baada ya single inferno
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚Kipenda roho kula nyama mbichi kama wakorea na minofu yao isiyoiva vizuri
Wewe ni wa pekeee [emoji3][emoji3]
Ongoing 124

Love for suckers inaharibu siri za dating shows kumbe mambo mengi yanapangwa na director na cast wanaingia wakiwa na mbinu za kutafuta kiki za kujiongezea umaarufu zaidi.

Eden descendant of instinct ilivyoisha daah pozi sina
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zile nyama sasa....hivi wanakulaje nyama mbichi kabisa vile duuh
 
Kwa kifupi tu tupo page moja kuwa hye kyo alileta ustaa hadi ndani ya maisha halisi.

Hao wengine ukute mmoja kajishusha vya kutosha ili maisha yaendelee,ndoa tamu sana ukimpata akupendae na kukuelewa vizuri.

Mrembo wetu angejishusha kiasi na kuendana na kasi ya maisha ya uraiani. Pole kwake niliwapenda kwenye descendants of the sun walipendeza sana
 
Yaani wale misosi yao mingi inaweza kutushinda kula. Kuna yale majani wanasindikizia na nyamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nshajaribu bana ka nyama ka kuchoma na spinach mbichi sijawahi rudia tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zile nyama sasa....hivi wanakulaje nyama mbichi kabisa vile duuh
 

Bwaaana
Jins na li ship penzi la sejun na so e[emoji45]
 
Yaani wale misosi yao mingi inaweza kutushinda kula. Kuna yale majani wanasindikizia na nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nshajaribu bana ka nyama ka kuchoma na spinach mbichi sijawahi rudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulitaka ujikute naaaani[emoji1787][emoji1787]
Ungekula na chinese labda ile naona hata mbich inalikaga


Mi kuna mchina walileta hizo rameyon tu tast
Nikazipika kikorea ila sikugusa
Tumbo langu na kujarib jarib akah

Ila watoto walizilaaa, ile haruf ya vile viungo hapana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna wale aah pweza wana miguu mingi daah wanadumbukizwa wazima wazima kwenye sufuria linalochemka,kwenye korean no 1 niliona kuna mwingine alikatwa katwa akiwa hai na jamaa wakatengewa wakala huku wanasifia utamu wakati mbichi kabisa
Ile sushi jee
Yan samaki m bichi na hana chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…