No hata kama location still kungekuwepo na sparks.
Mbona Ryu Soo Young na Park Ha Sun walikutana kwenye Two Weeks mwaka mbele wakaoana hadi sasa wapo pamoja.
Joo Sang Wook na Cha Ye Ryun walikutana 2016 kwenye Glamorous Temptation,2017 wakaoana na wana watoto hadi sasa wapo pamoja.(hii ni kati ya couple nnazozipenda sana navutiwa na uzuri wa Bibie wife wake Joo Sang Wook na jamaa mwenyewe ni HB flani aliyekaa ki-gentleman)
Watoto wanaunganisha family pakubwa sana nadhani shida kwao ilianzia hapo Song Hye Kyo alikuwa hata kwenye meetings za familia ya Song Joong Ki anasuasua kufika pia kwenye kuzaa alikuwa anadelay sana na according to rafiki yake wa karibu alikuwa na mpango baada ya project ya Encounter kumalizika ndio amzalie jamaa.
Unajua kihalisia ukiwa unaishi na mwanamke yupo bize still anasuasua kukuzalia na kila siku mpo pamoja huyo ni nduguyo ama? Mahaba yalianza kupungua hapa.
Ukifuatilia kwa kina Song Hye Kyo ndio anateseka sana na break up huwa insta yake kila ikifika birthday ya Song Joong Ki huwa anapost picha ya anga/mawingu na mashairi flani hivi yanatatiza,alimpenda sana jamaa ndio hivyo tena yeye ndio aliyeachwa.