Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

😂😂😂😂😂Pole.

Huyo huyo

Basi mie napenda sana hizi habari za ndoa zao maana zinawaweka huru na macho ya paparazi na midomo ya watu.

Wakitoka honeymoon wataringa ringa kwa muda kuigiza mara paap wanajikuta kwenye family drama
Kang chii ndo Seung gi

Nimeona hiyo habari leo, nimeumia sana[emoji23]
Naona nishakuwa knetz, idol asi-date wala kuoa[emoji26]

Sikujua kama nampentaaa hivi
 
Kang chiiiiiiiiiiiii keshabook april inakua zamu yake kula keki na honeymoon
Mungu awajaalie.
IMG_20230207_225722.jpg
 
Tangu niimalize DaeJangGeum ( Jewel in the palece) juzi bado nahangaika kupata drama nyingine ya maana hapa, jana nimejaribu kuitafuta "Tell me what you sawać iliyosifiwa na watu humu ila sijaona maajabu yake kwenye episode ya kwanza na sitaki kupoteza Mb zaidi.

Kuna mapendekezo yoyote?
 
Hapa umeshaangalia ngapi?

Flower of the Prison

Love in the Moonlight

Hwarang: Poet Warrior Youth

Arang and the Magistrate

Iljimae

Shine or go crazy

Faith

Rookie Historian Goo Hae Ryung

My Sassy Girl

Queen for 7 Days

100 Days My Prince
Tangu niimalize DaeJangGeum ( Jewel in the palece) juzi bado nahangaika kupata drama nyingine ya maana hapa, jana nimejaribu kuitafuta "Tell me what you sawać iliyosifiwa na watu humu ila sijaona maajabu yake kwenye episode ya kwanza na sitaki kupoteza Mb zaidi.

Kuna mapendekezo yoyote?
 
Huu uzi bado upo.... wakorea niliwapenda kwenye green rose,iris 1,tale of fox Child gumiho(soundtrack za humo ni balaaa,swallow the sun,faith,city hunter, lobbyist, bridal mask, I miss you na boys over flowers

Ila kwa sasa wakorea wanarudia sana scenes [emoji3] siwaelewi inshort
 
Mimi kuna muda natamani hizi K-drama zote ambazo niliwahi kuziona zijifute kichwani niwe kama sijawahi kuziona, ili nienjoy tena ladha ya K-dramas.

Maana nyingi nzuri nimeshazitazama na kila ninaishika kwasasa naiona hovyo tu, nakaa muda mrefu bila kuvuta chuma kwakusubiria dramas tofauti na kipindi kila naingia rasmi kwenye K-drama, kila unayoigua ni [emoji91][emoji91][emoji91].

Wakorea watulia sana enzi hizo, storyline zao zilikuwa ni moto hasa kwenye Historical dramas, Thriller&Suspense na Melodrama.

HISTORICAL
Dong Yi, Jewel in the palace, Queen Seondeok, Empress Ki, Mr Queen, Jumong, The land of wind, The Great King, Joseon Gunman, Swallow the Sun, Gu Familiy Book, Princess Jamyong( jina limenitoka), Subaek, Iljmae , The Crowned Clown, Deep rooted tree, Six flying dragon, 100 Days my prince.....nyingine nyingi.

THRILLER&SUSPENSE
East of Eden, Giant, Hidden Identity, Heartless City, Iris 1, Iris 2, Athena, All of us are dead, Big Mouth, Vagabond, Goodbye Mr Black, City hunter, 3 Days, Sweet Home, Innocent dependant, The K2, Healer, Forgutive plan B, Tax Driver, Tell me what you saw..nk nyingine nimesahau.

MELODRAMA
My love from another star, Endless Love, I'm Sorry I love you, Golden Rainbow, Temptation of an angel, Growing Up, Crash Landing on you, It's Okay not to be Okay,....hapa nimeangalia nyingi ila majina nimesahau.

NB: Mwenye list ya drama nyingine kali tofauti na nilizoweka hapo anaweza kushare hapa.
 
Back
Top Bottom