[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna wale aah pweza wana miguu mingi daah wanadumbukizwa wazima wazima kwenye sufuria linalochemka,kwenye korean no 1 niliona kuna mwingine alikatwa katwa akiwa hai na jamaa wakatengewa wakala huku wanasifia utamu wakati mbichi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki nimecheka. Utakuja kutapika hadi utupo dadeki. Hivi instant noodles bongo hazipo wajameni natamani siku moja nijaribuYaani wale misosi yao mingi inaweza kutushinda kula. Kuna yale majani wanasindikizia na nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nshajaribu bana ka nyama ka kuchoma na spinach mbichi sijawahi rudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Song joong ki anaonekana ni family man maana hii toa ndoa weka ndoa sikuitegemea nilijua atakuwa bachela kwa muda mrefu sana atawazidi akina Song Seung heon na kundi lake ila wale nao nahisi ndio wapo jf huku wanafanya kampeni ya 'kataa ndoa'[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi tu
Mimi sitaki Amani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini aoe na yeye
Kuna zile crabs zinaokotwa kwenye matope jamani konokono huyu hapa [emoji134][emoji134][emoji134] uwaone wenyewe wanavyofurahia sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna wale aah pweza wana miguu mingi daah wanadumbukizwa wazima wazima kwenye sufuria linalochemka,kwenye korean no 1 niliona kuna mwingine alikatwa katwa akiwa hai na jamaa wakatengewa wakala huku wanasifia utamu wakati mbichi kabisa
Wale jamaa kila kitu kinaliwa wana undugu na wachina wale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki nimecheka. Utakuja kutapika hadi utupo dadeki. Hivi instant noodles bongo hazipo wajameni natamani siku moja nijaribu
Kuna zile crabs zinaokotwa kwenye matope jamani konokono huyu hapa [emoji134][emoji134][emoji134] uwaone wenyewe wanavyofurahia sasa
Zile nilizokupa umeangalia hata moja??, Halafu Kuna the last begar war Hziyech22Undercover nimeiyona ila hizo zingine sijaziona
Hivi karibuni nilikuwa busy mno nikipata muda nitazichekiZile nilizokupa umeangalia hata moja??, Halafu Kuna the last begar war Hziyech22
Hivi huwa mnawezaje kurudia drama? Ile hali ya kujua kinachofata na namna story itakavyoisha ni kitu pekee ambacho kinafanya kamwe nisiwaze kuirudia drama.1.Jumong ,hii iloonyeshwa ITV miaka ya nyuma ilivyoisha watu wakaomba iludiwe Capital Tv ikarudiwa na mwaka jana imerudiwa tena ITV .
Ni Koreaan drama pekee ambayo ukirudia unakuwa kama haujawahi kuiona na kila ukirudia lazima utagundua kitu kipya ambacho awali ulipita na kuona kawaida ..
Fuatilia pia DaeJangGeum (JEWEL IN THE PALACE).Nikimaliza Jang Yeong Sill na Dae Jo Young nitakutafuta na hiyo.
Hii Cobra squad ilikuwa ni moto.Cobra squad , isidingo , uzalo
Nimeziona zote hizi, Good bye Mr black ni drama yenye storyline nzuri ambayo imepuuzwa.Kaangalie a man called god, big mouth au Good bye mr black.
Heartless City & Hidden Identity umeziona pia?Undercover nimeiyona ila hizo zingine sijaziona
Iyo heartless si ni ile wanayouza madawa ya kulevya??Heartless City & Hidden Identity umeziona pia?
Hivi kujiua ndio ishara pekee iliyowekwa na wakorea kuonyesha kuwa wanawajibika kwa makosa yao?Hiyo bullying jamani ni balaa ukiangalia watoto mambo wanayofanya hadi nywele zinasisimka.
Kuhusu sexual harassment kuna yule professor alikaliwa kooni hadi akajinyonga inasemekana alikuwa ana tabia ya kuwashikashika waigizaji wa kike wale underground
Hidden city nimeiyona hiyo heartless city ndio sijaiyonaHeartless City & Hidden Identity umeziona pia?
[emoji16][emoji16] labda ndio hivyo walivyoambiwaHivi kujiua ndio ishara pekee iliyowekwa na wakorea kuonyesha kuwa wanawajibika kwa makosa yao?
Kidogo tu mtu kajiua, labda sio sisi wabongo.
Nasubiria mualiko wa harusi yako,
usiwe bingwa wa kutuhabarisha ya wenzako huku ya kwako ukiyaficha.
bibi wewe utaolewa lini?
chawa wake wanasemaje?
nakumbuka kuna kipindi walikuwa wanalalamikia mahusiano yake na huyo binti, wakorea walikuwa na hasira dhidi ya familia ya kabinti special baada ya kuingizwa mjini na baba LEE.
baba lee aliwatapeli mabilioni ya fedha kupitia biashara ya stock.
Kang chiiiiiiiiiiiii keshabook april inakua zamu yake kula keki na honeymoon