Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kuna wale aah pweza wana miguu mingi daah wanadumbukizwa wazima wazima kwenye sufuria linalochemka,kwenye korean no 1 niliona kuna mwingine alikatwa katwa akiwa hai na jamaa wakatengewa wakala huku wanasifia utamu wakati mbichi kabisa

Yani hapo ndo nashanga
Yani katoka kutembea dk tano nyingi wanamla

Kuna wale wadudu kama ruba kwenye 21 25

Ukiikuta wanaivuta hiyo supu ya mguu wa kaa[emoji3]
 
Yaani wale misosi yao mingi inaweza kutushinda kula. Kuna yale majani wanasindikizia na nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nshajaribu bana ka nyama ka kuchoma na spinach mbichi sijawahi rudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki nimecheka. Utakuja kutapika hadi utupo dadeki. Hivi instant noodles bongo hazipo wajameni natamani siku moja nijaribu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi tu
Mimi sitaki Amani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwanini aoe na yeye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Song joong ki anaonekana ni family man maana hii toa ndoa weka ndoa sikuitegemea nilijua atakuwa bachela kwa muda mrefu sana atawazidi akina Song Seung heon na kundi lake ila wale nao nahisi ndio wapo jf huku wanafanya kampeni ya 'kataa ndoa'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kuna wale aah pweza wana miguu mingi daah wanadumbukizwa wazima wazima kwenye sufuria linalochemka,kwenye korean no 1 niliona kuna mwingine alikatwa katwa akiwa hai na jamaa wakatengewa wakala huku wanasifia utamu wakati mbichi kabisa
Kuna zile crabs zinaokotwa kwenye matope jamani konokono huyu hapa [emoji134][emoji134][emoji134] uwaone wenyewe wanavyofurahia sasa
 
😂😂😂😂😂😂. Noodles sijawahi kuzisaka,nitajaribu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki nimecheka. Utakuja kutapika hadi utupo dadeki. Hivi instant noodles bongo hazipo wajameni natamani siku moja nijaribu
Wale jamaa kila kitu kinaliwa wana undugu na wachina wale
Kuna zile crabs zinaokotwa kwenye matope jamani konokono huyu hapa [emoji134][emoji134][emoji134] uwaone wenyewe wanavyofurahia sasa
 
1.Jumong ,hii iloonyeshwa ITV miaka ya nyuma ilivyoisha watu wakaomba iludiwe Capital Tv ikarudiwa na mwaka jana imerudiwa tena ITV .

Ni Koreaan drama pekee ambayo ukirudia unakuwa kama haujawahi kuiona na kila ukirudia lazima utagundua kitu kipya ambacho awali ulipita na kuona kawaida ..
Hivi huwa mnawezaje kurudia drama? Ile hali ya kujua kinachofata na namna story itakavyoisha ni kitu pekee ambacho kinafanya kamwe nisiwaze kuirudia drama.
 
Hiyo bullying jamani ni balaa ukiangalia watoto mambo wanayofanya hadi nywele zinasisimka.
Kuhusu sexual harassment kuna yule professor alikaliwa kooni hadi akajinyonga inasemekana alikuwa ana tabia ya kuwashikashika waigizaji wa kike wale underground
Hivi kujiua ndio ishara pekee iliyowekwa na wakorea kuonyesha kuwa wanawajibika kwa makosa yao?

Kidogo tu mtu kajiua, labda sio sisi wabongo.
 
Ila wakorea ni mabingwa wa kutapeliwa na kuleta makasiriko kwa wasiohusika. Ndo maana Enzi zao za joseon etc naona wale waliowahukumu kwa treason na adhabu nyingine walikua wanaua ukoo mzima kama komesha tu daah
chawa wake wanasemaje?
nakumbuka kuna kipindi walikuwa wanalalamikia mahusiano yake na huyo binti, wakorea walikuwa na hasira dhidi ya familia ya kabinti special baada ya kuingizwa mjini na baba LEE.

baba lee aliwatapeli mabilioni ya fedha kupitia biashara ya stock.
 
Back
Top Bottom