Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bado sijapata love story kali ya kikorea kama hiii. Nilitami iwe ndefu kama destinated hearts ya jericho na kristina[emoji7]
 
Nyingine ni hiii story ya moto sana

Hapa hisia zimelala[emoji3]
 
Huyu mwanamke huwa namkubali sana, ni mrembo kwakweli..!
Unajua ukikuta mwanamke wa Kikorea aliyechanganya damu huwa anakuwa na uzuri flani wa kuvutia.
Kama huyu kamix na Australia na kuna yule Rose wa Blackpink kamix blood na New Zealand halafu kuna mtoto anaitwa Jeon Somi ambaye ni Korean-Canadian.
Yaani wana macho mazuri ya Kikorea halafu kwa mbali wana muonekano wa Kizungu basi kama malaika[emoji16].

Anyway hapo Lee Da Hae alikuwa bado mbichi ukimcheki kwenye Iris 2 na Hotel King si kwa beauty ile.
 

Jeon somi mzuri mno na alishine poa kwenye ile audition program “the avengers[emoji4]

Sasa mzee wa variety fupi fupi em nifanyie recommendation nimemaliza pink lie naona niko empty kweli

Sasa nna boys planet
Nawaza sijui nipige na kura [emoji16]
 
Ushaangalia Sixth Sense? Ukiachana na Jessi napenda mawenge ya Lee Mijoo.

Kuna Young Actors Retreat waliyopo akina Ji Chang Wook,Park Seo Joon,Kim Yoo Jung,Hwang In Yeop n.k

Kuna Anybody Can Dance ile nayo nzuri sana mule ni mwendo wa Music kuna female celebs wanachuana kwenye kusakata rumba.

Street Woman Fighter hii nayo nzuri wa wapenzi wa Music.

Soshi Tamtam humu ni mwendo wa misosi Mukbangs
 

Asantee
Nianze moja moja sasa
 

Under Thr Queen’s umbrella

Alchemy Of Souls (Season 1&2)

Business proposal

Backstreet Rookie

The King eternal monarch

When camellia bloom

The Forbidden marriage

Eve

The last empress

penthause
 
Mac Alpho Cheki hizi hautajuta "The last" incarnation of money, woman of 9.9 billion dollars, dangerous wife hizi ni suspect and thriller

VIP , fates and furies na Love's ni romance drama kali mno ingawa sio mapenzi Sana wa romance genre za kikorea kwasababu zinakuwaga na utoto mwingi ila hizi nimezikubali za kibabe zina storyline nzuri Sana na matukio ya kusisimua
 

The last ni ya kawaida sana
 
Vagabond bonge moja la movie hakika nli enjoy sanaa ila mkuu vp season 2 umeicheki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…