Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Ukawaida wake uko vipi?
Hivi wee kijana huwa una shida gani hasa?Ukawaida wake uko vipi?
Kwani season 2 imetoka?Vagabond bonge moja la movie hakika nli enjoy sanaa ila mkuu vp season 2 umeicheki?
Swali zuri akikujibu nitagseason 2 imetoka lini?
Kweli tunatofautiana kwenye Hili kwangu hiyo series ipo kwenye top 5 ya korean drama zangu za muda wote nimependa story line pamoja matukio yake ikiwemo ule uwezo wa akili wa yule sterling kudili na yule no 1 kwangu nilipenda Sana hii idea.Ukisema hii ni ya kawaida drama ngapi unazozijua wewe ni Kali kuliko hii The last ukiondoa Vagabond, The mouth, Innocent defendant, Iris?Story ni nzuri ila walivyoipotray haisisimui. Kuna siku niliomba recommendation huku ya series zinazofanana na Vagabond mdau akamention hiyo. Nilikuwa disappointed baada ta kuiangalia.
Kwani kuna tatizo gani kwenye Hilo swali niliomuuliza?
Nkiri mkuu ipoMpaka leo sijafanikiwa kupata season 2 ya Money heist si nkiri, netnaija wala kimoitv kote huko haipo. Msaada tafadhali
Duuuh itaewoon class ya kawaida mkuu ?bonge la inspiration kdramaHyo kawaida
Hapa umeshaangalia ngapi?
Flower of the Prison
Love in the Moonlight
Hwarang: Poet Warrior Youth
Arang and the Magistrate
Iljimae
Shine or go crazy
Faith
Rookie Historian Goo Hae Ryung
My Sassy Girl
Queen for 7 Days
100 Days My Prince
Kama mtu ameipenda drama ameipenda, Kama hajaipenda itabaki kuwa hivyo...unapokuwa unataka akupe sababu lengo ni nini? Kwa mfano mimi nikikupa sababu za kutoipenda Defendant wewe sababu hizo zinakusaidia nini? Wewe si umeipenda endelea kuipenda hivyohivyo, Mimi ambae sijaipenda nitaendelea kutoipenda hata kama utaipamba kwa sababu milioniKwani kuna tatizo gani kwenye Hilo swali niliomuuliza?
Haina maajabu ukiangalia episodes nyingi ni 3 tu ushaichoka[emoji23][emoji23]Ukawaida wake uko vipi?
Yanayoendelea pale SM Entertainment ni kama tunayoonaga kwenye dramas visa vya Chaebol families mpwa anafanya visa kumng'oa uncle wake CEO kwenye reli kwa kumchafua reputation yake
Kweli tunatofautiana kwenye Hili kwangu hiyo series ipo kwenye top 5 ya korean drama zangu za muda wote nimependa story line pamoja matukio yake ikiwemo ule uwezo wa akili wa yule sterling kudili na yule no 1 kwangu nilipenda Sana hii idea.Ukisema hii ni ya kawaida drama ngapi unazozijua wewe ni Kali kuliko hii The last ukiondoa Vagabond, The mouth, Innocent defendant, Iris?
Startup nzuri sana, romance yake sikuipenda sana ila kwenye masuala mengine iko perfectYeah nahisi tunatofautiana, mimi napenda korean series zenye business lessons ndani yake. Jinsi wanavyounda kampuni from scratch hadi kuja kuwa empires, competition, revenge, scandals etc. Kwangu series kali nilizowahi kuangalia ukijumlisha na ulizozitaja ni City Hunter, The Heirs, 3 Days, 2 Weeks, Moon Lovers, Boys Over Flowers, Penthouse, Start Up, Itaewon Class
Startup nzuri sana, romance yake sikuipenda sana ila kwenye masuala mengine iko perfect
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nkiri mkuu ipo
Hapo juu sijaicheki Dangerous wife nadhani hii inafaa, hapo chini hizo ndo bado sijaziangalia zote.Mac Alpho Cheki hizi hautajuta "The last" incarnation of money, woman of 9.9 billion dollars, dangerous wife hizi ni suspect and thriller
VIP , fates and furies na Love's ni romance drama kali mno ingawa sio mapenzi Sana wa romance genre za kikorea kwasababu zinakuwaga na utoto mwingi ila hizi nimezikubali za kibabe zina storyline nzuri Sana na matukio ya kusisimua
Ile Boys over flower ilichezwa ikaa mkao, storyline nzuri lakini pia wasanii wote walijua kuuvaa uhusika wao vizuri.Yeah nahisi tunatofautiana, mimi napenda korean series zenye business lessons ndani yake. Jinsi wanavyounda kampuni from scratch hadi kuja kuwa empires, competition, revenge, scandals etc. Kwangu series kali nilizowahi kuangalia ukijumlisha na ulizozitaja ni City Hunter, The Heirs, 3 Days, 2 Weeks, Moon Lovers, Boys Over Flowers, Penthouse, Start Up, Itaewon Class