Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwamba una tastes za pekee sana[emoji16]

Leo sio mbaya nikupe recommendations kidogo kama hujawahi kuziona

Miss Ripley
Mask
Hotel King
A Thousand Days Promise
Different Dreams
Mad Dog
Investigation Couple
Naicheki love to hate you
Yule lawyer mdada ananiacha hoi anavyofanya street fight
Kastory kazuri,asante kwa recommendation!
 
nami nipo season 3 episode 4 ila hii ntaimaliza yote may maana inatamanisha sana misosi yao hivyo huwa naangalia jioni muda nimetulia nimeshiba😂😂😂😂

Sana hio ya retreat wamechukua main actors,actress na supporting wao toka moonlight,itaewon na sound of magic
Namalizia S3 ya sixth sense naona next one ni hii asante

Variety zina utam wake sana
 
Jaman kwa kusoma leo tu nimeahusha episode 4 najuta kwanin sikuimaliza

Yani mpaka kesho kitonga, naona kuchelewa
Mi sijaelewa sehemu pale nkiri ukiisearch inakwambia complete,lakini ukifungua udownload inaonyesha ongoing,
Sasa sijajua kama inaendelea au zile episode 10 ndo mwisho mana niko ya 8 ila natamani kama zifike 16🤣🤣🤣🤣
 

Mimi ep ya 10

Anhaaa nilionaga soompi hiyo re union

Dah bado ile ya lee seung gi watayifanyia Dubai, cant wait

Alisemaga Dae, hizi variety za wakorea hazina mwisho

Kila siku wana mpya
 

Mi natumia dramanice nipate 720p

Alafu hiyo Netflix walitoa ep zote kwa pamoja ndo hizo 10

Labda iwe na season 2
Ilivyo tamu hata ingekua ep 50 hukoo we ningeenda nayo
 
Hii nimecheka sana hasa episode 5 na sita na uzuri hawa wanafahamu kuuweka ustaa pembeni na hawana mazoea kupita mipaka
Mimi ep ya 10

Anhaaa nilionaga soompi hiyo re union

Dah bado ile ya lee seung gi watayifanyia Dubai, cant wait

Alisemaga Dae, hizi variety za wakorea hazina mwisho

Kila siku wana mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…