Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nilihitaji ugali madame khantwe, hata hivyo nakushukuru kwa ofa yako ya ramyeon (tambi).
navutiwa zaidi na upishi wa tambi za sukari, baba yangu hupenda sana kuandaliwa nyakati za mfungo wa ramadhani
tafadhali niandalie aina hiyo.


==================

kuna filamu ya kikorea inaitwa One Fine Spring Day, ni project ya mwaka 2001 iliowakutanisha lee young ae akiwa bado msichana mdogo na mvulana anayeitwa Yoo ji tae.

lee young ae alimualika yoo ji tae katika himaya yake, ndipo bidada lee akamuuliza Yoo.

do you want some ramyeon?
tokea hapo mara nyingi sentensi hiyo kupitia maigizo tofauti (crash landing on you, what happened to secretary kim, etc) imekuwa ikitumika kwa ajili ya kuweka wazi uvutio au uwazi kwa mtu umuhitajie kwa wakati husika.

ni sawa na kumtamkia
unahitaji kunywa kahawa?
unaweza kuendelea kubaki hapa?

imagine majira fulani, umekaa na mwenza anakutamkia maneno hayo,
anachohitaji ni zaidi ya kahawa.
ni wewe unayetamkiwa na uelewa wako
mwenzako amefall in love

Ra-myeon meog-go kal-lae?"

Mi kuna Movie nimeisahau Jina kidogo, humo mzee wa vicheko Jang Hyuk ameact kama Lee bang Won asee movie inamikato ile Hatari na hii ni ya pili kwangu ukitoa ile Frozen Flower yenye maudhui ya kishogaya.
Sikudhani kabisa kama hawa jamaa watafikia huko.
 
Mwamba una tastes za pekee sana[emoji16]

Leo sio mbaya nikupe recommendations kidogo kama hujawahi kuziona

Miss Ripley
Mask
Hotel King
A Thousand Days Promise
Different Dreams
Mad Dog
Investigation Couple
Mkuu shukrani sana kuiyona tu hiyo drama ya mask inanipa Mwanga hii list sio ya kitoto kabisa maana nimeiyona hiyo ya mask tu na ilikuwa ni bonge la drama sasa hapa naona unaanza kunielewa
 
HII vipi ipo mzuka au maana za Shamba adimu sana now day.
A'fu kama kuna mtu ana link ya Dae Jo Young naomba plz
images.jpg
 
Nasubiria lawama atakazokushushia pale atakapokuta taste zake hajikamilika😂😂😂😂
Hapana kwenye hiyo list aliyonipa kuna Moja nimecheki hiyo "mask" baada ya kuiyona hii nadhani zingine zitakuwa Kali maana ni Moja Kati best drama niliyowahi kuangalia unaingia kwenye top 20 yangu ya drama ya best of all time
 
Back
Top Bottom