Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna mnyama anaitwa REBOEN RICH ya 2022. Ni moto

Reborn_Rich.jpg

LINK

Reborn Rich
 
ukitaka udownload series nyingi za kikorea mwenyewe bila usumbufu ni wewe na sim au PC yako na bando lako, nenda website inaitwa KISSASIAN

LINK: -

RECOMMENDED

1. VINCENZO --- MOTO WA KUOTEA MBALI
Vincenzo English Sub | KissAsian

2. CRASH LANDING ON YOU
Crash Landing on You English Sub | KissAsian

3. IT'S OKAY TO NOT BE OKAY
It's Okay to Not Be Okay English Sub | KissAsian

4. MY LOVE FROM ANOTHER STAR
You Who Came from the Stars English Sub | KissAsian

5. THE K2 --- MOTO MWINGINE HUU
The K2 English Sub | KissAsian

6. ALL OF US ARE DEAD
All of Us Are Dead English Sub | KissAsian

7. WEAK HERO CLASS 1
----Kama unapenda kuona mtu anatwangwa ngumi darasani mpaka kifo basi hii ndo yenyewe. hawafichi kitu humu

Weak Hero Class 1 English Sub | KissAsian

Zipo nyingine nyingi kali kinoma.... Nitakua najitahidi kurecommend

PEACE !!!!!!
Weak Hero Class 1
Link ya series
WEAK HERO CLASS 1

Weak_Hero_Class_1.jpeg.jpg
 
Do you want some ramyeon?
nilihitaji ugali madame khantwe, hata hivyo nakushukuru kwa ofa yako ya ramyeon (tambi).
navutiwa zaidi na upishi wa tambi za sukari, baba yangu hupenda sana kuandaliwa nyakati za mfungo wa ramadhani
tafadhali niandalie aina hiyo.

==================
Do you want some ramyeon?
kuna filamu ya kikorea inaitwa One Fine Spring Day, ni project ya mwaka 2001 iliowakutanisha lee young ae akiwa bado msichana mdogo na mvulana anayeitwa Yoo ji tae.

lee young ae alimualika yoo ji tae katika himaya yake, ndipo bidada lee akamuuliza Yoo.

do you want some ramyeon?
tokea hapo mara nyingi sentensi hiyo kupitia maigizo tofauti (crash landing on you, what happened to secretary kim, etc) imekuwa ikitumika kwa ajili ya kuweka wazi uvutio au uwazi kwa mtu umuhitajie kwa wakati husika.

ni sawa na kumtamkia
unahitaji kunywa kahawa?
unaweza kuendelea kubaki hapa?

imagine majira fulani, umekaa na mwenza anakutamkia maneno hayo,
anachohitaji ni zaidi ya kahawa.
ni wewe unayetamkiwa na uelewa wako
mwenzako amefall in love

Ra-myeon meog-go kal-lae?"
 
Mwandiko wako naufananisha na wa mtu fulani (simtaji)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeibukia huku turudi kule home sweet home kwa akina red devils tukaugulie maumivu Carleen karibu soju
Daaah, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nimewatambia kule baada ya first half, nilijua kabisa ningekutana na spana za hatari kule, tangu siku ya mechi sijarudi lile kujwaa[emoji23][emoji23][emoji23].

Sema sikuhizi umelitenga sana jukwaa, hakuna tena zile GIF za magoli siku ya mechi.
 
😂😂😂😂😂😂😂Tatizo la GIF bando la uhakika. Ila nitajaribu mbeleni kuleta kiaina
Daaah, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nimewatambia kule baada ya first half, nilijua kabisa ningekutana na spana za hatari kule, tangu siku ya mechi sijarudi lile kujwaa[emoji23][emoji23][emoji23].

Sema sikuhizi umelitenga sana jukwaa, hakuna tena zile GIF za magoli siku ya mechi.
 
Mwezi May mwaka jana Actress Kim Sae Ron(22) alikutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali iliyopelekea kuharibu biashara za watu na miundombinu ya umeme ya eneo hilo kwa kuharibu transfomana kusababisha zaidi ya nyumna 57 kukosa umeme.

Baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo ilimbidi kuomba radhi pamoja na kufanya compensation kwa wahanga wote.

Tukio hilo lillimharibia reputation na brands zote zilizokuwa na mikataba nae zilizitisha na hata kampuni inayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa haikuweza kumuongezea mkataba baada ya muda wake kuisha.

Kesi yake ilikuwa ikiendelea leo mahakamani na katika adhabu za mwanzo ametakiwa kulipa fidia ya ₩20.0 million($15,200 USD)

Pia katika kujitetea mbele ya mahakama akielezea siku ya tukio hakupanga kuendesha gari na alimpigia dereva wa kumuendesha hata hivyo alikuwa mbali na eneo hilo so ikamlazimu kuendesha hadi eneo husika akihisi sio mbali sana na bahati mbaya yakamkuta matatizo hayo.

Zaidi ya hayo alieleza zaidi kwamba kwa sasa alishaacha kunywa pia gari alishaiuza na anaiomba mahakama kumhurumia kwa kuwa yeye ndio msaka tonge wa familia nyumbani tangu baada ya tukio amekuwa akipitia changamoto za kifedha na amekuwa anafanya Part-Time Job katika Cafe.
Hatma ya kesi itakuwa April 5

Nje ya mahakama baadhi ya reporters walimuuliza maswali kuhusu anavyoendesha maisha kwa sasa akawaeleza kwamba anafanya Part-time job,pia kuhusu mpango wa kurejea kwenye sanaa alijibu akitokwa na machozi "Samahani" [emoji24][emoji24]

View attachment 2542180
 
Attachments

  • Photo_1678281461911.jpg
    Photo_1678281461911.jpg
    42.4 KB · Views: 15
Back
Top Bottom