Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh, kwenye ile drama ndipo Song seung heon aliukamata moyo wangu japo alikuwa ananikeraaa.....[emoji23][emoji23][emoji23] dah [emoji1544] unatamani kuingia kwenye screen kumzibua mtu[emoji16]
Ngoja nikaangalieKuna mtu kaelekeza cha airtel bila file kule technology uzi wa vifurushi. Japo sijajaribu
Tuelekezane wakuuMimi Leo na jana kitonga cha Airtel kimenigomea
Ayo majina sasa utafikili ni pangaYaani ach tu ndugu yangu yaani hunifikii mimi nilivyokasirishwa. Imesababisha hata Shin se kyung simpendi walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwezi May mwaka jana Actress Kim Sae Ron(22) alikutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali iliyopelekea kuharibu biashara za watu na miundombinu ya umeme ya eneo hilo kwa kuharibu transfomana kusababisha zaidi ya nyumna 57 kukosa umeme.
Baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo ilimbidi kuomba radhi pamoja na kufanya compensation kwa wahanga wote.
Tukio hilo lillimharibia reputation na brands zote zilizokuwa na mikataba nae zilizitisha na hata kampuni inayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa haikuweza kumuongezea mkataba baada ya muda wake kuisha.
Kesi yake ilikuwa ikiendelea leo mahakamani na katika adhabu za mwanzo ametakiwa kulipa fidia ya ₩20.0 million($15,200 USD)
Pia katika kujitetea mbele ya mahakama akielezea siku ya tukio hakupanga kuendesha gari na alimpigia dereva wa kumuendesha hata hivyo alikuwa mbali na eneo hilo so ikamlazimu kuendesha hadi eneo husika akihisi sio mbali sana na bahati mbaya yakamkuta matatizo hayo.
Zaidi ya hayo alieleza zaidi kwamba kwa sasa alishaacha kunywa pia gari alishaiuza na anaiomba mahakama kumhurumia kwa kuwa yeye ndio msaka tonge wa familia nyumbani tangu baada ya tukio amekuwa akipitia changamoto za kifedha na amekuwa anafanya Part-Time Job katika Cafe.
Hatma ya kesi itakuwa April 5
Nje ya mahakama baadhi ya reporters walimuuliza maswali kuhusu anavyoendesha maisha kwa sasa akawaeleza kwamba anafanya Part-time job,pia kuhusu mpango wa kurejea kwenye sanaa alijibu akitokwa na machozi "Samahani" [emoji24][emoji24]
View attachment 2542180
Nilikuwa nazifikiria baadhi ya kazi nilizoangalia ila sentensi hiyo ya mwisho imenivuruga. Yaan drama inayohusu shule, bullying, halafu iwe na kissing scenes nyingi. SiijuiHebu nitajieni series mpya ambayo inahusu mambo ya high school, mapenzi shuleni, ugomvi, bully n.k
Scene za kisses ziwe nyingi sana ila nudity na LGBT visiwepo
Cobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tuNilikuwa nazifikiria baadhi ya kazi nilizoangalia ila sentensi hiyo ya mwisho imenivuruga. Yaan drama inayohusu shule, bullying, halafu iwe na kissing scenes nyingi. Siijui
Class Of LiesCobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tu
Ondoa hizo kisses, series gani unaijua ipo hivyo hata bila kisses
The GloryCobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tu
Ondoa hizo kisses, series gani unaijua ipo hivyo hata bila kisses
It's not your cup of tea... achana nayo songa mbele. Vigezo hata tukikutajia havitakusaidiaDah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Kila mtu ana tastes zake,ukiona drama mbaya ujue sio taste yako hiyoDah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Nakumbuka kipind kile bando la night nilishusha mzigo wote 20 dah nakuja kuitzama nilichoka manDah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Hawa jamaa nao huwa wako sensitive sana, yani fault kama hiyo ndio imemnyang'anya matongo yote hayo na kumharibia brand yake kiasi hicho? Hiyo faini itamsumbua sana kuilipa.Mwezi May mwaka jana Actress Kim Sae Ron(22) alikutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali iliyopelekea kuharibu biashara za watu na miundombinu ya umeme ya eneo hilo kwa kuharibu transfomana kusababisha zaidi ya nyumna 57 kukosa umeme.
Baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo ilimbidi kuomba radhi pamoja na kufanya compensation kwa wahanga wote.
Tukio hilo lillimharibia reputation na brands zote zilizokuwa na mikataba nae zilizitisha na hata kampuni inayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa haikuweza kumuongezea mkataba baada ya muda wake kuisha.
Kesi yake ilikuwa ikiendelea leo mahakamani na katika adhabu za mwanzo ametakiwa kulipa fidia ya ₩20.0 million($15,200 USD)
Pia katika kujitetea mbele ya mahakama akielezea siku ya tukio hakupanga kuendesha gari na alimpigia dereva wa kumuendesha hata hivyo alikuwa mbali na eneo hilo so ikamlazimu kuendesha hadi eneo husika akihisi sio mbali sana na bahati mbaya yakamkuta matatizo hayo.
Zaidi ya hayo alieleza zaidi kwamba kwa sasa alishaacha kunywa pia gari alishaiuza na anaiomba mahakama kumhurumia kwa kuwa yeye ndio msaka tonge wa familia nyumbani tangu baada ya tukio amekuwa akipitia changamoto za kifedha na amekuwa anafanya Part-Time Job katika Cafe.
Hatma ya kesi itakuwa April 5
Nje ya mahakama baadhi ya reporters walimuuliza maswali kuhusu anavyoendesha maisha kwa sasa akawaeleza kwamba anafanya Part-time job,pia kuhusu mpango wa kurejea kwenye sanaa alijibu akitokwa na machozi "Samahani" [emoji24][emoji24]
View attachment 2542180
Sijui kwanini sijawahi kuvutiwa kabisa na Chinese drama, sidhani kama nitakuja kuzigusa, ingawa wengi huwa wanasisitiza kuwa ni nzuri.Nioo zangu na Chinese drama hii now ni kali balaa[emoji91]View attachment 2542263