Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nioo zangu na Chinese drama hii now ni kali balaa[emoji91]
jX7xzf.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah [emoji1544] unatamani kuingia kwenye screen kumzibua mtu[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh, kwenye ile drama ndipo Song seung heon aliukamata moyo wangu japo alikuwa ananikeraaa.....
 
Akomae tu muhimu ni kukaza mpaka mwisho
Mwezi May mwaka jana Actress Kim Sae Ron(22) alikutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali iliyopelekea kuharibu biashara za watu na miundombinu ya umeme ya eneo hilo kwa kuharibu transfomana kusababisha zaidi ya nyumna 57 kukosa umeme.

Baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo ilimbidi kuomba radhi pamoja na kufanya compensation kwa wahanga wote.

Tukio hilo lillimharibia reputation na brands zote zilizokuwa na mikataba nae zilizitisha na hata kampuni inayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa haikuweza kumuongezea mkataba baada ya muda wake kuisha.

Kesi yake ilikuwa ikiendelea leo mahakamani na katika adhabu za mwanzo ametakiwa kulipa fidia ya ₩20.0 million($15,200 USD)

Pia katika kujitetea mbele ya mahakama akielezea siku ya tukio hakupanga kuendesha gari na alimpigia dereva wa kumuendesha hata hivyo alikuwa mbali na eneo hilo so ikamlazimu kuendesha hadi eneo husika akihisi sio mbali sana na bahati mbaya yakamkuta matatizo hayo.

Zaidi ya hayo alieleza zaidi kwamba kwa sasa alishaacha kunywa pia gari alishaiuza na anaiomba mahakama kumhurumia kwa kuwa yeye ndio msaka tonge wa familia nyumbani tangu baada ya tukio amekuwa akipitia changamoto za kifedha na amekuwa anafanya Part-Time Job katika Cafe.
Hatma ya kesi itakuwa April 5

Nje ya mahakama baadhi ya reporters walimuuliza maswali kuhusu anavyoendesha maisha kwa sasa akawaeleza kwamba anafanya Part-time job,pia kuhusu mpango wa kurejea kwenye sanaa alijibu akitokwa na machozi "Samahani" [emoji24][emoji24]

View attachment 2542180
 
Hebu nitajieni series mpya ambayo inahusu mambo ya high school, mapenzi shuleni, ugomvi, bully n.k
Scene za kisses ziwe nyingi sana ila nudity na LGBT visiwepo
 
Nilikuwa nazifikiria baadhi ya kazi nilizoangalia ila sentensi hiyo ya mwisho imenivuruga. Yaan drama inayohusu shule, bullying, halafu iwe na kissing scenes nyingi. Siijui
 
Cobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tu
Ondoa hizo kisses, series gani unaijua ipo hivyo hata bila kisses
 
The Glory
Crash course in romance.
Hizo zote ni mchanganyiko wa shule na watu wazima. Unaweza usipate unachotaka ila naamini utakuwa na mengi ya kujifunza
 
Mwezi May mwaka jana Actress Kim Sae Ron(22) alikutwa na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa na kusababisha ajali iliyopelekea kuharibu biashara za watu na miundombinu ya umeme ya eneo hilo kwa kuharibu transfomana kusababisha zaidi ya nyumna 57 kukosa umeme.

Baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo ilimbidi kuomba radhi pamoja na kufanya compensation kwa wahanga wote.

Tukio hilo lillimharibia reputation na brands zote zilizokuwa na mikataba nae zilizitisha na hata kampuni inayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa haikuweza kumuongezea mkataba baada ya muda wake kuisha.

Kesi yake ilikuwa ikiendelea leo mahakamani na katika adhabu za mwanzo ametakiwa kulipa fidia ya ₩20.0 million($15,200 USD)

Pia katika kujitetea mbele ya mahakama akielezea siku ya tukio hakupanga kuendesha gari na alimpigia dereva wa kumuendesha hata hivyo alikuwa mbali na eneo hilo so ikamlazimu kuendesha hadi eneo husika akihisi sio mbali sana na bahati mbaya yakamkuta matatizo hayo.

Zaidi ya hayo alieleza zaidi kwamba kwa sasa alishaacha kunywa pia gari alishaiuza na anaiomba mahakama kumhurumia kwa kuwa yeye ndio msaka tonge wa familia nyumbani tangu baada ya tukio amekuwa akipitia changamoto za kifedha na amekuwa anafanya Part-Time Job katika Cafe.
Hatma ya kesi itakuwa April 5

Nje ya mahakama baadhi ya reporters walimuuliza maswali kuhusu anavyoendesha maisha kwa sasa akawaeleza kwamba anafanya Part-time job,pia kuhusu mpango wa kurejea kwenye sanaa alijibu akitokwa na machozi "Samahani" [emoji24][emoji24]

View attachment 2542180
Hawa jamaa nao huwa wako sensitive sana, yani fault kama hiyo ndio imemnyang'anya matongo yote hayo na kumharibia brand yake kiasi hicho? Hiyo faini itamsumbua sana kuilipa.

Kwa nchi za Africa hilo lilikuwa linaisha kama hakuna kitu kiliwahi kutokea.
 
Back
Top Bottom