Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yule sio handsome wale nn,handsome alikuwaga yule jamaa aliyecheza Winter Sonata na The Legend
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani humuelewi yule daah
 
Mweeh kweli tunatofautiana...huyo naye anaingia kwenye kundi la wazuri labda hicho kiuno
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂huwa nacheka tu vile viupaja vyao
 
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
Hizo ulizoangalia na mimi ndio hizohizo simuelewagi wala [emoji16][emoji16]
 
Huyu si ndo yule wa kwenye ile mature movie ya lesbo nimeisahau jina ila uliitaja juzi hapa
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
 
Suga kauzu yule akaa

Wa mie huyo j hope[emoji7]
 
Ndo maana sio crush wa wengi japo drama yake ndo za mwanzo mwazo kuingia tukaishia kwa lee minho
 
Yan tule tumin mi naonaga aibu[emoji1787]
Ila nilivyoona Nara akiwa anawafokea jessi na mijoo wakivaa hizo nikajua aaah mambo ya utandawazi
 
Yan tule tumin mi naonaga aibu[emoji1787]
Ila nilivyoona Nara akiwa anawafokea jessi na mijoo wakivaa hizo nikajua aaah mambo ya utandawazi
Yah nakuwaga sipo comfortable kutamba kabisa napenda kuwaona ndani ya Elegant style.

Oh Nara ni mtu mzima yule lazima afoke ila Mijoo bado utoto unamsumbua,Jessi anajifanya bado kijana wakati anakimbiza 38 soon kama sikosei
 
Kim Tae ri kaigiza GL

Enzi hizo nilikua namchanganya na IU[emoji1]

Kumbe anafanana sana na FL Wa Heavenly idol.
Yah GL tena hot too much kila kitu wazi kasoro reproductive parts tu.

Alipewa kazi ya kumfundisha mtoto mmoja wa Kijapan baadhi mambo ya faragha kwa sababu soon alikuwa anatarajia kuolewa kilichotokea yule mtoto akapatwa na tamaa za kimwili bwana wakawa wanapasha aisee[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…