Yah nakuwaga sipo comfortable kutamba kabisa napenda kuwaona ndani ya Elegant style.
Oh Nara ni mtu mzima yule lazima afoke ila Mijoo bado utoto unamsumbua,Jessi anajifanya bado kijana wakati anakimbiza 38 soon kama sikosei
Yah GL tena hot too much kila kitu wazi kasoro reproductive parts tu.
Alipewa kazi ya kumfundisha mtoto mmoja wa Kijapan baadhi mambo ya faragha kwa sababu soon alikuwa anatarajia kuolewa kilichotokea yule mtoto akapatwa na tamaa za kimwili bwana wakawa wanapasha aisee[emoji23][emoji23]
Mimi sikubali hiyo jamii hata kidogo,hiyo movie sikutegemea kama ntakutana na hivyo vitu kama ilivyokuwaga Frozen Flower.Dah
Pale unapinga lgtbq alafu unakutana na msimuliaji kama wewe, iman inatingishika[emoji3]
Hii muvi sikuilewa walaDah
Pale unapinga lgtbq alafu unakutana na msimuliaji kama wewe, iman inatingishika[emoji3]
Hii muvi sikuilewa wala
Yule ni Kim Tae Ri alicheza Mr Sunshine
Hamna watu wepesi kuwatofautisha kama wadada huwa nacheza na macho yao,eyelids na pua tuKuwakariri wadada huwa kazi ngumu sana kwangu ila vimkaka kazi rahisi mno. Drama nyingi huwa navutiwa na vihandsome kwanza kisha kiss scenes zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] it's understandableKuwakariri wadada huwa kazi ngumu sana kwangu ila vimkaka kazi rahisi mno. Drama nyingi huwa navutiwa na vihandsome kwanza kisha kiss scenes zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sisi kwa wakaka ndio hivyohivyo...Hamna watu wepesi kuwatofautisha kama wadada huwa nacheza na macho yao,eyelids na pua tu
Labda kwa sababu ya uzoefu wangu kama fanboy.
Uzuri wa mwanamke ni reception mfano unatokea mnatokea nja mbili tofauti paap mnagongana macho pale ndio pa kurate uzuri sio hadi ukimbilie nyuma yake kutazama uvimbe ule.Ila vidada vya Kikorea vina vitako vidogo sana. Sijui ndo nature yao [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] it's understandable
Nilichogundua kila sehemu na taste na utamaduni wao, kule Korea ili utambulike kama mrembo hutakiwi kuwa mnene, yani unatakiwa uwe kimbaumbau mrefu ndo tuanze kujadili sura yako.Ila vidada vya Kikorea vina vitako vidogo sana. Sijui ndo nature yao [emoji1787][emoji1787]
Dangerous wife, incarnation of money, woman of 99.9 billion dollars,watcher, The empress ki, mask, k2, big mouthDaaaah ni nyiiingi siwezi chagua... Ila napenda zaidi zenye character alie chafukwa ama psychopath ama crazy lover
Ntajie zako
Zote kali ila mm yakwanza hapo ni 99.9 billionDangerous wife, incarnation of money, woman of 99.9 billion dollars,watcher, The empress ki, mask, k2, big mouth
Maliza na Punch drama zakoDangerous wife, incarnation of money, woman of 99.9 billion dollars,watcher, The empress ki, mask, k2, big mouth
Maliza na Punch drama zako
Anyway, hata mimi naona Wakorea wangekuwa na makalio makubwa kama Wabongo wasingependezaUzuri wa mwanamke ni reception mfano unatokea mnatokea nja mbili tofauti paap mnagongana macho pale ndio pa kurate uzuri sio hadi ukimbilie nyuma yake kutazama uvimbe ule.
Kabisa kabisa,kwa mfano hapa msambwanda wa kazi gani[emoji86][emoji38][emoji38]Anyway, hata mimi naona Wakorea wangekuwa na makalio makubwa kama Wabongo wasingependeza