Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ni mzuri sana yaani kwenye level ya uzuri yupo kwenye most beautiful level ya juu sema Unaweza kukuta hayupo kwenye drama kali shida yenyewe ndio ilipo hapa
Generation mpya ya hawa 20's karibu wote wazuri.

Sema huyu utamkuta kwenye romantic comedy na melodrama chache kama Find Me In Your Memory na Interests Of Love
 
Mimi nikiona drama main characters wake ni teenagers ina kuwa ngumu kwangu kuiangalia kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]ni tastes tu.

Kama nahitaji kuona moments za kufurahisha huwa nawaangalia hawa wa 20's

Kama nahitaji romance dramas zilizotulia bila comedy kwa sana ndio huwa nawaangalia wa over 30.

Nacheza kote ukizungumzia celebs karibu wote wananivutia
 
Sasa teenager yuko wapi hapo jamani... nadhani Song joong ki na Moon chae won wote walikuwa kwenye 20s
 
Ni nzuri sana
Yah ina maumivu flani hivi dah

Seo Eu Gi alivyorudigi kwa Kang Maru na camera tu yenye picha zao huku hana kumbukumbu za nyuma ila inamdirect walikuwa wapenzi,na huko nyuma jamaa alimtumia tu alikuwa hampendi.

Ila round hii jamaa akajikuta anapenda kiukweli ila siku kumbukumbu zinamrejea Eun Gi alikuwa na hasira si kitoto
 
Mimi niliiangalia zamani nadhani ilikuwa 2014 ile...nimeisahausahau ila nakumbuka niliipenda nilikuwa nairudiarudia
 
No hazungumzii hao anasemea Actors wadogo kiumri ambao wanacheza 20's
Anapitwa na mambo mazuri....mimi nasubiria project ya Yoo seung ho jamani hakuna fununu huko mlioko karibu na industry?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naangalia kila drama nzuri lakini pia kuna watu ni lazima niangalie kazi zao ziwe mbaya au nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…