mqaxy
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 342
- 559
Hizi kissing scenes za drama za sikuhizi niliona knetizens wakisema kwamba ML wengi hawapo comfortable pia...Kuna scene jamaa alipewa part acheze na ex wake kissing scene baada ya kushoot mwamba akakimbilia bafuni kupiga mswaki huku akijitapisha dah halafu unfortunately demu akaona aisee acha machozi yamlenge kwa hasira akiona kama kafanyiwa harassment kubwa sana.
Nilimuonea huruma yule mdada ukizingatia ni byuti byuti anadeserve better
Wadada wengi wananyanyasika wakati wanashoot hizi scene.
Kissing scenes zimezidi sana sikuhizi tofauti na za kitambo hakuna ku sexisha sana actors
BTW love to hate you ilikuwa best