Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Empress ki,legend of the blue sea,dong yi
 
Dah hapo mpigo mmoja tu unafunga uzazi. Jamaa namkubali sana series yangu ya kwanza kuangalia ni Jumong kutoka korea ndo niliwajulia wakorea hapo.
 
Dah hapo mpigo mmoja tu unafunga uzazi. Jamaa namkubali sana series yangu ya kwanza kuangalia ni Jumong kutoka korea ndo niliwajulia wakorea hapo.
Hata mimi ndo hapo nlipoanza kuwajua wakorea cha ajabu sikuwahi kuimaliza[emoji23]
 
Mkuu upo vizuri sana
 
Nimetoka kuangalia The legend of the blue sea... Ya Lee Min Ho! Yaani ni love story na kucheka juu! Kwa wapenzi wa mysteries za mermaids!
 
----The accidental couple... Yaani hawa walikosea kabisaaa kuoana [emoji23][emoji23]
----Fashion king... Mwisho wake sijaupenda ila ni nzuri
----Boys over flowers... Baba lao la love stories
----My girlfriend is a guminho... Mysteries! Mkaka kapendana na eight tailed fox anaejigeuza kua human with supernatural powers
----Full house... I love it. Mdada kasafiri kakuta nyumba yao imeuzwa kwa star ikagoma kuondoka so wakaanza ishi pamoja... Its nice! Ishu za contract marriage
----Bridal mask... Its nice ila sio mjini kivilee! Ishu za vigilante
----I am sam... Setting yake ni shuleni... Kuna mwalimu mjinga sana
----Dream High... Struggles in a music school
----To the beautiful you... Its cute
----Stairway to heaven... Ishu za mama wa kambo! Itakuliza
----Secret garden... Love story between a rich guy and a poor girl. A girl hakujua kwamba the guy is rich.
----Roof top prince... Imechanganyika na uzamani kidogo sana.

TO BE CONTINUED
 
Naomba mwenye link ya series moja inaitwa secret mission nimetafuta Google mpaka YouTube haipo
 
ani = hapana
sijawahi kuishi korea ila nina ndoto ya kutembelea nchi ya Korea akipenda muumba wa mbingu na ardhi.
Una ndoto kama yangu ila mimi sijui kama itatimia. Yaani wakorea wameniroga I love everything about korea yan[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…